mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 730
Mwambie huyo anaekashifu majirani awe loyal kwetu kwanza hatukumpa hiyo kazi arukie mambo ya majirani na kutuexpose kwenye mazozano ya kijinga tukaonekana wote hatutumii akili!!!
kwa akili yako wewe utakalia kubishana na watu barabarani wanaokuambia ukweli ikitokea babayako katembea uchi mtaani badala ya kutafuta vazi umkinge na aibu!!!
kweli watusi ni janga la afrika mashariki! ukipewa ushauri umekashifiwa? kati ya kikwete na kagame aliekashifu na kumtukana mwingine ni nani? unauwezo mdogo sana wa kufikiri au ni bendera fuata kagame.