Kwahiyo unafrahia watanzania waliopoteza maisha yao huko dafur sio. Hakika unaonyesha iduni wa siasa ulionao wewe nazani si mtanzania halisi wala husamini utanzania wewe ni kabaila huwezi kufurahiya mauji ya askari wetu wakitanzania walipo sudani kwa ngao ya UN jeshi ni latanzania na sio la wanasiasa sisi watanzania tunapata uchungu tunaposkia habari mbaya kamahizi iweje wewe ufurahie inaonyesha wazi hata mabom ya arusha kuna uwezekano mkawa mliyalipua wenyewe. Nahofia kuwa nchiyetu imekumbwa na balaa bora tungekuwa na chama kimoja kama democracy ndo hii
Hehe ndugu yangu .....mimi ni mmojawapo ya watu wabaya sana,,Linapotokea jambo halafu watu wanajifanya kuachana na hali halisi kwa madai kuwa waanshughudia vifo au kudhurika huku wakijaribu blackmail yoyote anayewakumbusha kuwa mado hatari ipo na maangamizi yaaendelea.Bwana, Vipi tena na messages zako ?
Acha nikwambiye kitu, kwangu mie, kuna uyatima enye Mungu ameandika ( sikuombeyi kitu ) na kuna uyatima yakujitakia, yani unafikiri kama ndugu zetu wenye wako kule ( Darfur - Kivu) niwana CCM ?
Hivi, unafikiri wewe (kama uko Mtanzania) utapendwa na nani ? Na Mtanzania au na mgeni ?
Hivi, ushauri ya JK au Membe kuikatalia timu iende kule Darfur ni mbaya ?
Hivi, kushambulia ushauri ya serikali kusiana na mambo ya nje inafaidikia nani ?
(Tu)Tafakari mwendo yako(wetu) ya upendo ya utanzania
Mungu Ibariki Tanzania.
Hehe ndugu yangu .....mimi ni mmojawapo ya watu wabaya sana,,Linapotokea jambo halafu watu wanajifanya kuachana na hali halisi kwa madai kuwa waanshughudia vifo au kudhurika huku wakijaribu blackmail yoyote anayewakumbusha kuwa mado hatari ipo na maangamizi yaaendelea.
Akina Membe na JK huwa wana masifa sana, hawashauriki na watanzania wakati wanakimbilia fanya mambo ya kuwasafisha "wachina, wapalestina, akina ghadafi ,iran, syria ,bashir, mugabe and the sort"..ila kikinuka ndio wanatu blackmail kuw auzalendo unatakiwa..Nchi nyingine serikali inahojiwa kuweka uhalali wa Vijana wetu kuwepo pale at first place, pia nani alihakikisha usalama wao?Askari wanakwenda ktk biashara ya kuua ila na wao wanahitaji ulinzi, ndio maana watu wakabuni "bullet proof vest","bomb proof", na techninc nyingine za kuwapoteza maboya au kuwazidi maadui kutoke angani ili vikosi vya ardhini visalimike.
CCM lazima ikiri makosa na iwaeleze wananchi kwa kina+pia wajipange upya huku wakiitaka UN iwajibike kufanya uchunguzi.Tanzania pia ichunguze km hakuna raia wa nchi za kiafrica UN waliowafanyia hila kwa kuwaelekeza ratiba za askari watanzania na vifaa walivyo navyo ambayo itakuwa ktk office za UN.Hay amambo si rahisi km vichwa Vyepesi vya magamba vifikirivyo.
Hakuna mipando ya kutumia uwepo wetu w amajeshi to the maximum kujipanua kiuchumi, kufungua njia kwa watanzania kuanzisha biashara (haswa zinazoingiza kodi nchini na kuingia inteligensia na ulinzi za nchi husika), hakuna mipango ya kupanua diplomasia kwa makundi yote huko(kuanzia Raia hadi vikundi vya kisiasa) kwa maslahi ya Tanzania baadae.Hakuna mipango ya kupanua masoko, au hata ku improve silaha zetu.NI masiafa tuu ya akina Membe.
Hakuna kati ya Membe na JK au E.L anayejua kuwa kila kitendo kinachoonesha udhaifu kinawapa moyo Malawi, Uganda,Rwanda, na Hata Kenya kuwa in case kuna mgogoro basi vita iwe Option.Km walivyo expose CCM mbele ya CDM ndivyo watakavyo expose nchi kwa majirani wanaotamani sana kutuchaapa mabomu.
CDm wameweza waonyesha watanzania jinsi gani wasomi wetu tuliokuwa tukiwaamini kila inchi kwa vyeti vyao ni wa hovyo sana.Hata mtu asiye wa hiyo taaluma akiw ana rational thinking anaweza fanya vyema kuliko wao.People who dares can humiliate todays Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu tuondolee hawa bogus wa CCM wanadhalilisha na kuitesa nchi kwa kilio cha mamba kilichofichwa na "Uzalendo".
Mkuu,
Ukweli ni : Tanzania iko ku hatari mkubwa, mkubwa kweli. Hatari wakati (ki)viongozi wa chama fulani inasema:
1) JWTZ INAUA , BAKA , TESA watu wa Mtwara bila ushahidi ( nimeshaona ile picha ya mtu kapigwa ) lakini kusema kama JWTZ inabaka, hapa ni hatari kwajila si majeshi tena , ni uasi mtupu yani Tanzania ina waasi mtupu ?
2) watanzania waupuze POLISI, sasa nani atalinda usalama. Leta ushahidi, laa itakua uongo mtupu !
Personally CCM naona kama genge la mjambazi lililo tayari kutoa kafara raia wote kwa vile hawajui uchungu wa kuzaa, wala wa kutafuta mali kwa jasho, au hata umuhimu wa kulinda mali yoyote tuliyoachia na wazee km zawadi tok kwa Mungu..
Mimi naona urgency kubwa sana hata ya kuipindua CCM kabla hali haijawa extremely Severe.
Bila shaka naona hauipendi CCM.
Lakini maswali zangu hauijajibu ?
hayo maneno hapo juu na hiyo picture inaonyesha wazi JK huwa anakuwa carried aways os easily na mambo madogo..Kagame alichoongea ni very strong kwa nchi yake..Aliweza waambi ufaranza kuwa kifaranza kipigwe chini nchini kwake......jk anawafunga watanzania mdomo km ndugu wa Daudi walivyokuwa akimnyamazisha asije mchokoza goliath......Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible
![]()
Rabies inaweza ambukizwa na Mbwa ,fisi, au hata jamii ya nyani..ila mara zote mbwa mwenye kichaa ndio tumuue.Kwa vile hutung`ata kwa sababu ya kichaa chake.
Sasa unadhani niiipende CCM kwa nini?Au hata nisipoipenda kunaiondoa vipi ktk hasara tunayoipata..Membe yupo fast kwa vile U CCM wake unamtuma kuwa hizo drama afanyazo zitamsaidia kuwaambia watanzania wampe nchi kwa vile ana uzoefu na masuala ya kimataifa, ulinzi wa nchi na blah blah zingine.Mbaya zaidi kila kitu CCM wamefanya kwa kuki-CCM-emisha na hivyo hakuna uovu nchini ambao hauhusiani na ccm..ufisadi, ugaidi, ujangili, madawa ya kulevya, wizi wa kura, hila na kufukuzana kazi, hila kwa upinzani, ukanda, udini, ukabila etc..sasa uovu wote huu unataka ugundue nini tena ndani ya ccm?Au nyie ndio mnapania ngono km mnataka gundu mgodi...?
Acheni mizaha..sasa nikujibu nini ulichouliza..?unatafuta lugha gani sasa ya kuisema CCM vizuri wakati hata mdomo kwako haitamkiki na kukuacha huru..?
Wewe mbona kiswahili chako kigumu sana kuelewa ?Kaka,
Nauliza hivi hiyo chama inasema Jeshi / polisi yetu iko na CCM , ushahidi iko ? Faida gani inapata ?
Nimesubiri kupata jibu lakini bado ! Acha nikuambiye, hivi CCM ikesema :" oneni Chadema na siasa yao yakuiponda Jeshi letu ? " unazani Chadema itasema nini, si watasema :" ooo, Jeshi iko na CCM. Watanzania tunaonewa ".
Halafu jibu la Jeshi itakuwa nini ?
Labda munataka ikuwe kama Misri ?
Jibu naongoja! Hasa hasa wakati wanasema kama Jeshi inabaka, inaua watu wa Mtwara ? Asante
Kama kawaida ya sheria za TZ, iwapo mtu anakutishia maisha unalazimika kutoa taarifa polisi ili uchunguzi ufanyike, kwa hili la kagame ni hivyo hivyo kwani JK ni mtanzania na anaroho kama watz wengine. Ukweli kuwa hadi sasa JK hajaripoti polisi suala la kutishiwa maisha na Kagame unadhihirisha kuwa hakuna kitu kama hicho.
And for him, I will wait for a nice time to hit him, inasadikiwa eti Kagame alisema hivyo huku akimaanisha for JK.
Kama JK anaamini kweli hiyo for him ni yeye, basi ninamshauri atoe taarifa polisi ili kova na mwema watoe matamko juu ya hilo baada ya kuchunguza.
Nawasilisha.