Wadau nashangaa kagame kuongea kauli ile, hivi kweli kagame anajiamini kiasi hicho? anatafuta nini kagame? yaani ndio kuthubutu kusema kwamba anasubiri wakati amtandike kikwete yaani anaweza kuyapiga majeshi ya nchii hii? kagame kafikia hapo jamani?
yaani pamoja na kuwasitiri wakiwana na vita na burundi bado anajeuri ya namna hiyo?hayo ni maneno ya kutamka kweli hiyo kagame? au ana hamu na vita?
kikwete ni mvumilivu sana.
Ingekuwa mimi tayari ningepeleka majeshi kagera na kigoma alafu nimjibu akjibu simjibu tena bali naagiza majeshi waanze kurusha makombora.
...........Mbona unalalamika KIKE-KIKE, kwani hawezi?
Angesema atampiga Mnyika ndio ningeshangaa kapata wapi ujasiri
endelea kuwa na propaganda na majivuno ya kitusi! mtapotea dimba muda c mrefu
rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa tanzania ni kama congo!
Hold on guys and take it easy,kabla hamjaanza kutoa gas zenu angalieni source ya hiyo news kwanza ndio mtaelewa whats goin on? naona hapa mnaingizwa king bila kujua na wengine tayari naona mko tayari kwa combat,the fact is hiyo blog/site ni ant Rwanda and big supporter wa FDRL and as a matter of fact theres no such thing Kagame alisema or anything close na kilichoandikwa,Presidential transcript ya huo mkutano ipo na wala haikuwa secret,hiyo website inajiita afroamerican lakini everything is about ant Rwanda/tutsi,well,naona hate propaganda za FDLR zinaanza kufanikiwa JF,angalieni nyie msije mkaingizwa kwenye ugomvi usiowahusu
Kama chadema tu imeshinda atamuweza kagame? Namsifu sana kagame hiyo ndiyo dawa ya mtu mnafiki. Unajuwa wanyarwanda wangapi wapo jwtz?
Jeshi letu limebakia kuchezesha vitambi kama wajawazitoUdogo wa Nchi au Ukubw wa nchi hauna usiano na nguvu za kijeshi, navile vilevile kwa Dunia ya sasa Majeshi ya Nchi kavu si muhimu sana, ndo maana nchi kama URUSI wanpunguza sana Wanajeshi wao na kuongeza vifaa vya kijeshi, hibe fikilia mna rundo la wanajeshi halafu wezenu wana Drone au wana ma ICBM,
Kwa sasa vifaa ndo vinamata na si wingi wa wanajeshi, kw hiyo huwezi jua nguvu zake ziko wapi, yeye si mwendawazimu
Umeonaeeeeeh kala pilipili...vita hivi ni vya kikwete na kagame individually,watanzania tusiusishwe.wacha amtwange apunguze kiherehere.