We kweli keng.e yaani vijana wetu wafe kwa ajili ya
Wacongo.
wewe ndo kenge ambaye hujui kwanini wapo pale na wapo kwa ajili ya nani,
mbona waliokuwa lebanon,liberia ,dafur hulalamiki au wale siyo
watanzania.? unless uniambie tanzania ijiondoe uanachama katika umoja wa
mataifa ili isishiriki operation za kulinda amani za un kitu ambacho
hakiwezekani kwa wenye akili labda kwa akili zako za kijinga. (angalizo) samahani kwa kukuita mjinga mkuu siyo tusi hilo
we ndo kenge hujui kulinda amani na kupigana yaani kuwa frontline majeshi yetu yameenda Congo kupigana vita isiyotuhusu na tusio nufaika nayo ingekuwaje kama tungepeleka kikosi hicho kulinda tembo wetu.
we ndo kenge hujui
kulinda amani na kupigana yaani kuwa frontline majeshi yetu yameenda
Congo kupigana vita isiyotuhusu na tusio nufaika nayo ingekuwaje kama
tungepeleka kikosi hicho kulinda tembo wetu.
We kweli keng.e yaani vijana wetu wafe kwa ajili ya Wacongo.
Waulize wananchi waishio mpakani kama wao hawasumbuliwi na machafuko yanayotokea Congo. Wale wakimbizi kutoka Congo baba yako ndio anawatunza..?
Unajua we ni mjinga unaakiri hata kidogo
watu wana ugonvi wao binafsi halafu wanatuahadaa sisi ili tuingie kwenye machafuko,alituahadaa nyerere ugonvi wake binafsi na idd amini na huku idd amin akimdai nyerere wakutane ili wapigane laivu yeye akampelekea jeshi,safari hii piganeni wenyewe labda mna maslai binafsi na huko DRC,haiwezekani wanajeshi wetu wanakufa kila siku wanaacha watoto yatima ,wajane na wategemezi wengine halafu tusijiulize tunatetea maslahi ya nani,hata raisi wa marekan aliwahi kuhojiwa na wabunge wake ni faida zipi wameipata kwa kupeleka jeshi Iraq.Ukiuliza hapa tanzania unaambiwa wanajeshi wanapata uzoefu,kama suala ni uzoefu ni bora tuombe vita ya kirafiki na marekani ili wanajeshi wetu wawe ngangali,kama suala ni uzoefu mbona wanaokwenda vitani wengi ni vijana wadogo wenye miaka chini ya 25,wakati kuna wazee mpaka wanakaribia kustaafu hawajawahi kupigana vita kwa nini wasiende wao,wanaogopa nini,ndio maana vita ya uganda wakati wanazoa wagambo kijijini kwetu babu alikataa na kuwajibu kwamba mmewahi kunipa mshahara wenu siku moja
watu wana ugonvi wao binafsi
halafu wanatuahadaa sisi ili tuingie kwenye machafuko,alituahadaa
nyerere ugonvi wake binafsi na idd amini na huku idd amin akimdai
nyerere wakutane ili wapigane laivu yeye akampelekea jeshi,safari hii
piganeni wenyewe labda mna maslai binafsi na huko DRC,haiwezekani
wanajeshi wetu wanakufa kila siku wanaacha watoto yatima ,wajane na
wategemezi wengine halafu tusijiulize tunatetea maslahi ya nani,hata
raisi wa marekan aliwahi kuhojiwa na wabunge wake ni faida zipi
wameipata kwa kupeleka jeshi Iraq.Ukiuliza hapa tanzania unaambiwa
wanajeshi wanapata uzoefu,kama suala ni uzoefu ni bora tuombe vita ya
kirafiki na marekani ili wanajeshi wetu wawe ngangali,kama suala ni
uzoefu mbona wanaokwenda vitani wengi ni vijana wadogo wenye miaka chini
ya 25,wakati kuna wazee mpaka wanakaribia kustaafu hawajawahi kupigana
vita kwa nini wasiende wao,wanaogopa nini,ndio maana vita ya uganda
wakati wanazoa wagambo kijijini kwetu babu alikataa na kuwajibu kwamba
mmewahi kunipa mshahara wenu siku moja
sio kweli,wambieni waliowatuma kuwa watanzania wagumu kuhadaika.sana sana mtapigwa tu.
mkuu M23 wakimaliza kongo kesho watakuja kwako na hapa wengi ni wafuasi wa kagame angalia je kuna hata moja ameitaja SA au Malawi? tanzania. why.......? wa muache juma kapalata wetuWekeni hapa MASLAHI
YA TZ DRC NA SISI KUJIHUSISHA NA HILO TUJUE.NI MIPASHO TU YA
"------"ILITIBUA MAMBO !!
angalia kiswahili chako tu inaonyesha ulikoswakoswa na ops kimbunga eti mpingu sema mpingo mende weweKagame Ha2muwezi, Kisiki Cha Mpingu
kweli tz tuna matahira yaan unshindwa kufikiri japo kidogo kuwa congo mizigo yao yote inapita kwetu na lazima tupiganie congo yenye amani ili magari na mizigo yetu iweze kupita kwa amani
Mojawapo ya Kipimo cha mtanzania halisi ni kuitetea na kuipigania nchi yako. Kagame alimtukana rais , kitu ambacho ni sawa na kututukana watanzania wote, sasa kitendo cha nyinyi kumtetea eti kisa tz kuna mafisadi n.k huo si utanzania.
Nimemwambia mwenzako hapo juu kwamba mtu akikutukana ukamchekea siku nyingine atakushika m@tak0
Tafadhali mkuu hunijui sikujui, naomba usiniite masikini,
Turudi kwenye mada, nakubali tanzania tuna mapungufu meengi sana kiuchumi, kielimu n.k. pamoja na yote hayo bado sisi ni watanzania lazima tujivunie utanzania, huwezi kubali kutukanwa eti kisa una mapungufu fulani fulani ambayo yapo tuu na yataendelea kuwepo,
Ndo maana nakwambia wewe huna uzalendo na nchi yako, linapokuja suala la utaifa lazima tuweke tofauti zetu mbali na tuwe wamoja.
Narudia tena, hunijui sikujui, huwezi kuwa na mashaka na kitu ambacho hukujui.
Halafu wewe unayejiona mwenye IQ isiyo na shaka unakubali kutukanwa na kudharauliwa nchi yako, hapo sidhan kama IQ yako iko sawa.
Still Wewe bado Ni Masikini na Haswa Wa Akili.............. Swine!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!