Kafulila: Nimemsamehe Zitto lakini sitamsahau

Kafulila: Nimemsamehe Zitto lakini sitamsahau

Status
Not open for further replies.
Ni kweli alijikwaa jamani tusimlaumu sana daah yani tumeshasahau kazi nzito yote aliyoifanya...
 
Tatizo ZZK ana akili nyingi sana... wengi hawakuelewa ZZK kwa nini alitoa ile kauli.. Kauli ya ZZK ingekubalika manake bunge lilikua linatoa azimio la kumtaka rais atengue uteuzi wa PM pia... and yes by that time that was a correct thing to do kwa sababu MaCCM na serikali yalikua yameshajipanga kufunika issue.
 
Kafulila alipaswa atoe matamshi ya kupinga yale ya chenge,
itasaidia nini kucheza mpira nje ya uwanja?
 
Hakujikwaa
Namjua vizuri sana yule masikini.

Alikuwa anajua nini kitafanyika dakika ya mwisho na akaandaliwa kukipitisha.

Uzuri watu wengi hawana imani naye,sio mtu wa kumtegemea asilimia mia.

]Ni aina ya mchezaji ambaye mko timu mmoja ambaye unapaswa kumuamini baada ya kukupa pasi na sio wakati ana mpira,tena akiwa na mpira ni bora umkabe.

Hatabiliki

Nimeipenda hii, kama ni hivyo haina haja hata ya kumpa pasi.!
 
ZZK ni binadamu alifanya kazi nzuri lkn kuteleze kwake hakupaswi kumtengenezea sura hii jamani hata kama ni mnyonge kiasi gani!
Nawaombeni sana pamoja na udhaifu wa ZZK lakini ni miogoni mwa wanasiasa wacache sana nci hii wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja za kitaifa!
Juzi aliteleza tuu na ndiyo maana baadae akastuka akaomba asipendkeze chochote kwakuwa akii ilichoka, niiamini hiki alichkiri! Ukisema unamsamehe mtu afu hautomshau ni mbaya sana, bora usimsamehe na hakuna tofauti na kutomsamehe kabisa au la kumsamehe kinafiki tuu!
Binafi nilichokigundu kwa ZZK ni kwamba alitaka kupitiliza ushupalia hili suala, nafikiri baada ya kutoa hoja alipaswa awe na mda mchache wakuchangia hasa pale inalazimu sana ili kulinda na hadhi yake ya uenykiti wa PAC na kuepuka kuiicontradict.
 
Zitto alikuwa pale kwa kazi maalum. Target yake alikuwa ni Mhongo tu.

Fikiri, siku hiyo hiyo kakubali kifungu kizima cha azimio lake kifutwe bila kupinga hata chembe. Kuhusu Naibu Waziri.
 
si huwa wanasema ni mpambanaji asiyechoka.
Chezea mizungusho ya bi kiroboto,..''aaah aaah,mimi nataka formula nzuri ya kuandika''.

'sawa sasa tuiandikaje,nataka lugha nzuri isiyo na ukakasi'
 
Alikuwa amechoka sana na aliposhtuka kwamba anafanya maamuzi ya hovyo alikataa kuendelea na akasema wazi "akili imechoka" hapo ndipo mhe Mbowe alipo chukua maamuzi mazito bila kuchelewa. Ilikuwa ni team work.
 
zitto alikuwa kalala kwa uchovu, alipozinduka kaishia kusema ' kama alivyosema mh chenge'.
 
Hakujikwaa
Namjua vizuri sana yule masikini.

Alikuwa anajua nini kitafanyika dakika ya mwisho na akaandaliwa kukipitisha.

Uzuri watu wengi hawana imani naye,sio mtu wa kumtegemea asilimia mia.

Na aina ya mchezaji ambaye mko timu mmoja ambaye unapaswa kumuamini baada ya kukupa pasi na sio wakati ana mpira,tena akiwa na mpira ni bora umkabe.

Hatabiliki

Hata mimi nilishangaa sana kusikia Zitto anaungana na fisadi Chenge ambaye ni mtuhumiwa. Nilishangaa sanajapokuwa kuna watu wanamtetea. Hivi kweli Zito hajui kuwa serikali ilikuwa kamati yake iwasilishe suala hili bungeni halafu hao hao mnawapelekea kesi waamue. NI jambo la ajabu lakini ndiyo limetokea kwa Zitto. Ona Mbowe alichokifanya ndicho ambacho kilikuwa kinatakiwa.
 
Last edited by a moderator:
Ole Sendeka ndio aliharibu game; kwa wazo la Chenge, Zitto alifanikiwa kulitumia kumuingiza Pinda kwenye kitanzi. Ole Sendeka akatibua kwa kumstua mama Spika. Ajabu madam spika akatengua uamuzi wa bunge. Hapo ndipo Mbowe ikabidi awe mkali
 
kwaenye yale mapendekezo ya ZZK lilikuwepo la waziri mkuu awajibishwe na mamlaka iliyo mteua, ndio mana zito akasema kutoka kifungu cha saba hadi mwisho vifuate ushauri wa chenge, kwa kauli hii waziri mkuu mafuriko yangemkumba, na spika alishajaa kwenye mtego ila olesendeka akashtuka akasema hapana lazima vifungu vijadiliwe kimoja kimoja, bi kiroboto ndio akapata akili kuuumbe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom