Kafulila: Nimemsamehe Zitto lakini sitamsahau

Kafulila: Nimemsamehe Zitto lakini sitamsahau

Status
Not open for further replies.
Mi nafikiri Chenge alitoa formulation ambayo ilikuwa na mtego wa kumtoa PM, kama ingekubalika kwa vifungu vyote maana yake Rais angetakiwa kutengua uteuzi wa waziri mkuu
 
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi) David Kafulila amesema kuwa ameshamsamehe Mbunge Zitto Kabwe lakini hatamsahau kamwe. Kafulila alikuwa akiongelea suala la Zitto kuungana kihoja na kiuandishi wa maazimio na Mbunge Andrew Chenge.

Kafulila,anayesemwa kushibana na Zitto,amesema kuwa katika nyakati ngumu maishani ule wa Zitto kuungana na Chenge ni mmoja wao. "Nikajikuta nauliza kwa sauti:hata wewe!?. Lakini nimemsamehe na mambo yanaendelea. Lakini,sitamsahau" alisema Kafulila.

Ni dhahiri Zitto alijikwaa na kupepesuka Ijumaa. Awe makini wakati mwingine.

Mzee Tupatupa wa Escrow,Dar es Salaam

Mjadala ulikuwa Mgumu ....Sana na kuna Wakati watu pale walichoka



By the way Juzi kuna Wazee wa ccm walikuwa wanamlaumu Ligola ...kuwa walimpa Jukumu la kwenda kutobolea Bunge uhusika wa Punda ..especially namna wakala wake alivyopokea Pesa dola milioni 5 ..... Wakidai Kangi aliwasaliti Baada ya usiku Kubanwa na timu Pinda ..Baada ya kudaka hizo taarifa .ikidaiwa alivutiwa cash 10 na nyingine badaye ...ili asimlipue ....,Matokeo wanashangaa Kangi anaenda pale anaanza fanya mambo ya kikatuni ...ooo sijui ajifunike nini ...wakabaki aaaah ...kashakula!
Inadaiwa kuwa Mzee katumia pesa nyingi Sana ....na ilimbidi Meya mmoja anayeshika koba lake aahirishe mambo yake na kusafiri kwenda Dodoma kuweka KAMBI ...akiwa na farabusi la pesa Za kugawa ...
 
Zitto alikuwa pale kwa kazi maalum. Target yake alikuwa ni Mhongo tu.

Fikiri, siku hiyo hiyo kakubali kifungu kizima cha azimio lake kifutwe bila kupinga hata chembe. Kuhusu Naibu Waziri.

Mimi kwa Kweli naona kumuondoa Muhingo kuna MALIPO yametoka kwa Mzee wa mamiss ...maana toka Juzi kafurahije
 
zitto alikuwa yuko sawa na kama bi kiroboto angeufuata ushauri kwa azimio la chenge pinda ndo ingekuwa basi tena!
 
Mtemi Chenge alituingiza chaka, Zitto ni binadamu and he was in good faith aliingia mkenge uliotegeshwa na Mtemi Chenge

in other way around Zitto alimuingiza Anna Makinda Mkenge ila mama akastuka na kuamua kufuta maazimio ya awali kwani yangetafuna mpaka Pinda.

Nakubaliana na wewe mkuu, Zitto ni mwanadamu na amefanya mambo makubwa sana mpake yale mapendekezo ya kamati kuwa kama yalivyo
 
mjadala ulikuwa mgumu ....sana na kuna wakati watu pale walichoka



by the way juzi kuna wazee wa ccm walikuwa wanamlaumu ligola ...kuwa walimpa jukumu la kwenda kutobolea bunge uhusika wa punda ..especially namna wakala wake alivyopokea pesa dola milioni 5 ..... Wakidai kangi aliwasaliti baada ya usiku kubanwa na timu pinda ..baada ya kudaka hizo taarifa .ikidaiwa alivutiwa cash 10 na nyingine badaye ...ili asimlipue ....,matokeo wanashangaa kangi anaenda pale anaanza fanya mambo ya kikatuni ...ooo sijui ajifunike nini ...wakabaki aaaah ...kashakula!
Inadaiwa kuwa mzee katumia pesa nyingi sana ....na ilimbidi meya mmoja anayeshika koba lake aahirishe mambo yake na kusafiri kwenda dodoma kuweka kambi ...akiwa na farabusi la pesa za kugawa ...

ishakuwa noma hadi hili mmelijus
 
Ule ulikuwa mtego 50&50 aisee.... Wengi hawakuelew
 
.....duh, mfano maridadi kabisa....na ukimkaba akakupiga chenga unafanyaje!?

Hapo ni kumrukia kwa nyuma kwa staili ya 'double engine'...! Yaani bora upewe red card lakini ukiwa umehakikisha hatacheza mpira tena., Dawa ya msaliti hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Ule mzgo ulikua mgum na mzito ila Mungu alikuwa ameanda nguvu kwa wengne
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom