Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

mkuu kafulila hakuwa mtu wa ku struggle ki hivyo kuingia bungeni!! wasome hawa chini....kisha uniache na ku think kwangu low!! hata kama utawakosea vipi wako watakaokupa kura tu!

kafulila kuna mahali alikosea na yeye anajua vizuri! mnamlilia yeye anajua kachemsha wapi




wengine hawajui hili!



yaani iliuma sana kwa kweli
mpinzani nchi hii ni Zito peke yake...natumai umefurahi
 
watu wa kigoma ni kama nyumbu eti zito ndio kawashikia akili mtateseka sana sisi wa mikoa yenye akili wala hatuna shida maji mpaka chooni shule kila mtaa nyie nganganieni ccm yenu pamoja na mdogo wake act masikini vijana machamli na yeye akakubali ashikiwe akili na nuru ya chama matokeo yake kaangukia pua kumbe hajui lengo la zito ni kuisaidia ccm

sasa nyie wa kilimanjaro mbona hamumsaidii kafulila MBONA KAMA MMEMTELEKEZA ANAPAMBANA PEKE YAKE , yuko wapi mwenyekiti wa chama , ukawa uko wapi .
 
Swali ,Kwani hawezi kuingia kwa kupitia viti maalum

Mkuu viti maalum ni maalum kwa ajili ya wanawake! na Raisi huwa ana nafasi zake 10, labda mkampigie magoti Magufuli amteue, kama JK alivyomuokoa Mbatia
 
According to Amandonga wa Jf (2015) Hakuna jipya kwa kafulila nyie mliombali ndo hamumfahamu uku ni kiramba ukoko tu. wakati wa kampeni alikuwa anajitaidi kuonga lakini wananchi walimkataa tayari wakawa wanagomea pesa zake na kumfukuza hivyo yaliyotokea yalibashiriwa toka awali, mfano serikali za mitaa yeye kati ya vijiji 61 aliambulia vijiji visvyozidi 5 wakati ccm ikijizolea viti 45, uchaguzi mkuu CCM ina kata 13, nccr 2 na cdm 1, huo ushindi anaupatia wapi. cha zaidi watu walimuonya abadilishe namna ya kujinadi yy hadi vijijini anaubili escrow. ambapo mwanachi wa kata kama ya Igalula hajui hata ni kitu gani, kwa kuwa hakuna alichokifanya kwenye jimbo alikuwa hawezi kujinadi kwa lolote, masela wake wote waliomwwzesha kupata ubunge huo hata kwa kumchangia nguo za kuvaa kipindi hicho wote aliwatelekeza kisa anajiita yeye mbunge wa dunia. akachagua maisha ya mbingu na ardhi kwa kutomthamini mtu yoyote jimboni kwake si raia wa kawaida wala viongozi wa serikalini. sasa wananchi wameamua akarudi kulima. pamoja na kununua baadhi ya wasimamizi na njia za ujanjaujanja alizotumia kapigwa zidio la 1077".

mkuu wanaomtetea huyu dogo wapo arusha / kilimanjaro , . hata hawajui hali halisi ya huku , mbona wao walimtelekeza wanadhani angeshindaje hilo jimbo WAKULAUMIWA NI MBATIA mpaka kasahau majukum ya chama na kuwa msemaji wa CDM .
 
Kweli...........Siku nne hutangazi matokeo,siku ya tano unasema aliyeshinda ameshindwa...........Hii iko Bongo tu
Hiyo haina tofauti na yaliyotokea Mbagala jijini Dar.
 
Back
Top Bottom