Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

Ila mjue kuwa Zito aliapa kuwa Kafulila harudi bungeni, kisa kakataa kujiunga act. Zito mbinafsi sana, inasemekama alikuwa upande wa ccm jimboni kwa kafulila.

Ilisemwa Zitto ndo alimuwezesha kuwa mbunge 2010 alipofukuzwa na Slaa Chadema mkabisha sasa mnalia lia kitu gani.tujifunze kuwa wakweli.Binafsi nimesikitishwa sana kutorudi Bungeni kwa Kafulila pamoja na Mtatiro wa segerea kusalitiwa na wenzie
 
Ni Tanzania pekee watuhumiwa wa escrow wanaingia bungeni ila yule aliyewaumbua wanamfanyia fitna asipite
 
Sema Davidi Kafulila, afukuzwa na kikwete bungeni!. Kwa nini mnamsingia Hasna wakati hii ni amri ya kikwte?

Unajua huyu aliyataka mwenyewe aliwatukana wapuga kura wake na aliwatukana waha kabusa na walimpania sana asipate ubunge sema shida ya ngulumbili bwana ukushindwa lazina utafute mtu wa kumlaumu huwa hatujitathmini ni kwanini umeshindwa
 
Duh, aisee siamini kabisa kama mbunge kijana machachari huyo, mtetezi wa rasilimali za wanyonge kafitiniwa na JK!
 
CCM ni autocratic and dictators...sasa mnaminya haki matokeo yake mtayaona siku moja...watanzania hawawataki mmelazimisha tu na huo ndo ukweli...iko siku mtatoka hata ikibidi kwa upanga
 
Ushindi wa haki na kwelik kwenye uchaguzi chini ya serikali ya CCM utatokana na kuandika karatasi NDIYO na HAPANA watakaopata HAPANA out na atakayepata NDIYO kashinda. Sioni sababu ya kuwachosha wananchi kupiga kura ambazo tayari zina matokeo.
 
Aende akaamzishe chama cha mawese kama alivyowatusi wanakigoma.

Tatizo jamaa anakurupuka kitendo cha kutukana wana kigoma kilionesha kabisa hana adabu na hata kwa wazee. naongea kama mwanakigoma kweli kafulila aliwaudhi ndo maana huku kushindwa kwake watu hawaskitika bali wameskitka kwa akina Buyogera, Machali na mkosamali.
 
kafulila alifukuzisha kazi watu wasio na hatia,mungu amempa mshahara wake sahihi,akalime mawese.

Kama kweli wewe ni Mtanzania basi ipende nchi yako maana hakuna Tanzania nyingine
 
Haiingii akilini; mtu aliyefichua kashfa ya ESCROW ambayo Serikali ilikuwa imekosa kodi, anaangushwa Ubunge ilhali wale "waliopiga" pesa hiyo na kutumia 10m kununua mboga wanashinda

kweli aisee ni maajabu..
 
Kwa mjibu wake yeye mwenyewe ameshinda kwa tofauti ya kura 2,345. Hata utangazwaji ulifanyika kama surprise kiasi kwamba hata wana CCM wenyewe hawakushangailia! Anadai kuwa mshindi ametangazwa kwa maelekezo ya wakuu!

Ametangazwa mshindi wa CCM!

Akusanye vielelezo ila kwa hii mahakama ya bongo hakuna haki atakayopewa.
 
Malipo ni hapahapa Duniani ZZK alimpigania sana huyu dogo 2010 aingie Bungeni likini alichomfanyia zzk kinajulikana,watu wa Kigomba aliwatukana mpaka wakamzomea ilitegenea wampe kura? Na zaidi ni kile kitendo cha kuwafukuzisha watu wasio na hatia kazi kwa bifu tu la kuwanyima mafisadi vitaru vya gesi Muhongo kaondolewa wizara nyeti mpaka sasa umeme wa kusuasua kwa fitina za huyu jamaa mi nashukuru sana kama kweli kakosa
 
Sema Davidi Kafulila, afukuzwa na kikwete bungeni!. Kwa nini mnamsingia Hasna wakati hii ni amri ya kikwte?

Kwa msimamo wa Dr Magu wa kuwashughulikia mafisafi na majizi yote basi mtu kama Kafulila ni silaha kubwa sana kwake hivyo nina hakika atampigania tu kushinda hiyo rufani yake. Lakini lingine la msingi hawa ndg zetu wa Kigoma wanaweza kutuingiza kwenye kitabu cha kumbukumbu cha Guinness kwa maajabu ya kumkataa mfichua ufisadi huku watu waliotuhumiwa kwa kashifa za ufisadi wakishinda kwa kishindo kwenye majimbo yao ya uchaguzi. This is possible only in Tanzania!
 
Huyu analeta propaganda ili tuamin Kaulila ameshindwa!!! Unafikiri ccm ingekua imeshinda ungekuta hawajatangaza hilo jimbo???? Tunajua wapinzani wanaposhinda huwa hawatangazi hadi wakose namna ya kuchakachua ndo wanatangaza
 
Kila anayeshindwa tume ya uchaguzi ni shetani wake. Anayeshinda anachekelea vigego nje nje.
 
Back
Top Bottom