Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,132
Kwa mjibu wake yeye mwenyewe ameshinda kwa tofauti ya kura 2,345. Hata utangazwaji ulifanyika kama surprise kiasi kwamba hata wana CCM wenyewe hawakushangailia! Anadai kuwa mshindi ametangazwa kwa maelekezo ya wakuu!

Ametangazwa mshindi wa CCM!

-------------------------------------

Miamia imetuuma wengi ambao tumempoteza Kiranja mmojawapo wa kutetea RASLIMALI za Taifa.Lakini Kafulila hakushindwa,bali ushindi wa Husna ulilazimishwa,maana mpaka tarehe 28/10/2015,Kafulila alikuwa anaongoza kwa kura takriban 4000,najiuliza Husna amepata wapi kura za ushindi ilhali aligomea Matokeo??

Hakika natamani kumuuliza Kafulila na waliokuwepo hapo kulitokea nini ikiwa Msimamizi alipromise kumtangaza Kafulila jana saa nne??Na kwa nini hakumtangaza jana saa nne kama alivyopromise amtangaze jioni???

SIna shaka kuna 'Behind the Scene" ambayo tulio mbali hatujui.

Kwa sasa naweza kusema hatuna TUME ya UCHAGUZI bali tuna TAWI la CCM,hakuna sababu ya kuwa na kipengere cha vyama vya vingi vya siasa iamuliwe kuanzia sasa marufuku kuwa MPINZANI wa chama kingine chochote zaidi ya CCM.

Naomba kusema kwa sasa sidhani kama UMOJA wetu kama wataznania utarudi kirahisi,labda atokee Mtu mwenye BUSARA waweke Tume ya MARIDHIANO,vingine sijui tutaishije humu ndani.

Bado Kafulila sijakata Tamaa najua na ninauhakika upo njiani kuja Dodoma.
 
Sema Davidi Kafulila, afukuzwa na kikwete bungeni!. Kwa nini mnamsingia Hasna wakati hii ni amri ya kikwte?
 
heshimuni wapiga kura jamani!!! huwezi kuwatukana watu wa kwenu na kisha ukataka kuwa mbunge wao!!

mengine story!!
 
Tetesi Au Una Uhakika Na Ulichokiandika!!!!!?? Kama Una Uthabitisho Tupatie Idadi Ya Kura Walizozipata Hao Wagombea WOOTE!!! Sio Kutoa Taarifa Nusu Nusu!!
 
Sema Davidi Kafulila, afukuzwa na kikwete bungeni!. Kwa nini mnamsingia Hasna wakati hii ni amri ya kikwte?

kafukuzwa kwenye chama cha wapare, siunaona hata mbatia hakujishughulisha nae, badala ya kuoa mchagga yeye kaoa mnyiramba, haoni mwenzie wenje aliyeoa mchagga wanampigania kufa na kupona.
 
Miamia imetuuma wengi ambao tumempoteza Kiranja mmojawapo wa kutetea RASLIMALI za Taifa.Lakini Kafulila hakushindwa,bali ushindi wa Husna ulilazimishwa,maana mpaka tarehe 28/10/2015,Kafulila alikuwa anaongoza kwa kura takriban 4000,najiuliza Husna amepata wapi kura za ushindi ilhali aligomea Matokeo??

Hakika natamani kumuuliza Kafulila na waliokuwepo hapo kulitokea nini ikiwa Msimamizi alipromise kumtangaza Kafulila jana saa nne??Na kwa nini hakumtangaza jana saa nne kama alivyopromise amtangaze jioni???

SIna shaka kuna 'Behind the Scene" ambayo tulio mbali hatujui.

Kwa sasa naweza kusema hatuna TUME ya UCHAGUZI bali tuna TAWI la CCM,hakuna sababu ya kuwa na kipengere cha vyama vya vingi vya siasa iamuliwe kuanzia sasa marufuku kuwa MPINZANI wa chama kingine chochote zaidi ya CCM.

Naomba kusema kwa sasa sidhani kama UMOJA wetu kama wataznania utarudi kirahisi,labda atokee Mtu mwenye BUSARA waweke Tume ya MARIDHIANO,vingine sijui tutaishije humu ndani.

Bado Kafulila sijakata Tamaa najua na ninauhakika upo njiani kuja Dodoma.
 
Dah, kweli??? Ngoja niendelee kutazama mwisho wake utakua nini..!!
 
Aende akaamzishe chama cha mawese kama alivyowatusi wanakigoma.
 
Sema Davidi Kafulila, afukuzwa na kikwete bungeni!. Kwa nini mnamsingia Hasna wakati hii ni amri ya kikwte?

Hongera kwa kusema ukweli unaouma.Lakini bado nina uhakika usioshaka anarudi soon
 
Huyu hamna tatizo, Magufuli anamuhitaji Bungeni, siti yake ipo na watanzania tunamuhitaji bungeni! Naamini Magufuli atampa siti aende akakonukishe kama kawa!
 
Aende akaamzishe chama cha mawese kama alivyowatusi wanakigoma.

Hajatukana alisema alichofikiri ni sahihi kuwaambia wenzake,si wakati wa kuanzisha chama kwa ajili ya watu wa Kigoma tu.Haya Chama kimeanzishwa kimeambulia kiti kimoja,Mkoa wote umeurudisha CCM,lazima tukapime akili zetu.
 
Miamia imetuuma wengi ambao tumempoteza Kiranja mmojawapo wa kutetea RASLIMALI za Taifa.Lakini Kafulila hakushindwa,bali ushindi wa Husna ulilazimishwa,maana mpaka tarehe 28/10/2015,Kafulila alikuwa anaongoza kwa kura takriban 4000,najiuliza Husna amepata wapi kura za ushindi ilhali aligomea Matokeo??

Hakika natamani kumuuliza Kafulila na waliokuwepo hapo kulitokea nini ikiwa Msimamizi alipromise kumtangaza Kafulila jana saa nne??Na kwa nini hakumtangaza jana saa nne kama alivyopromise amtangaze jioni???

SIna shaka kuna 'Behind the Scene" ambayo tulio mbali hatujui.

Kwa sasa naweza kusema hatuna TUME ya UCHAGUZI bali tuna TAWI la CCM,hakuna sababu ya kuwa na kipengere cha vyama vya vingi vya siasa iamuliwe kuanzia sasa marufuku kuwa MPINZANI wa chama kingine chochote zaidi ya CCM.

Naomba kusema kwa sasa sidhani kama UMOJA wetu kama wataznania utarudi kirahisi,labda atokee Mtu mwenye BUSARA waweke Tume ya MARIDHIANO,vingine sijui tutaishije humu ndani.

Bado Kafulila sijakata Tamaa najua na ninauhakika upo njiani kuja Dodoma.

Nakubaliana na ulichozungumza mkuu, neno kwa neno!
 
Back
Top Bottom