Kafanya kituko kingine tena, mwaka huu tutaona mengi

Kafanya kituko kingine tena, mwaka huu tutaona mengi

Safi sana huyo anafaa kuwa amiri jeshi mkuu.Anaweza kusimama hata sehemu ndogo tu juu ya gari miguu haitetemeki wala hapo haoni kizungu zungu .Hilo zoezi tu la kuruka na kutokea hapo juu ya gari lazima uwe fit.Huyo aweza dandia na kurukia nyuma ya lori la jeshi bila shida.Kamanda magufuli nimekuaminia uko fit.

Mwambieni Lowasa ajaribu kuiga hiyo naye tuone

Lowasa ubavu wa kufanya hivyo anautoa wapi? Labda wamuweke kwenye Cage kisha lipandishwe juu
 
Onesha kioo cha mbele chote alipitia kwa mbele mme kam huyu anakuwa katuni kwa watu mke wake si ana shida? Mama janet asante shida unazozipata tunazijua hongera kwa kufanywa maamuzi sahihi kutoambatana na comedian
 
Huyu atakuwa raisi mkakamavu kuliko wote Afrika mashariki nasikia na karate anapiga kinoma
 
Wanatwambia ni mwadilifu na mchapakazi. Lakini hawatwambii kuwa huwa hatumii busara kwenye maamuzi.

Kama yule alietumia busara kuamuru jengo livunjwe na mwisho wake serikali ikalipa fidia bilioni kadhaa...!!
 
Back
Top Bottom