Kafanya kituko kingine tena, mwaka huu tutaona mengi

attachment.php

Duh sasa akianguka itakuwaje !.
 
Safi sana huyo anafaa kuwa amiri jeshi mkuu.Anaweza kusimama hata sehemu ndogo tu juu ya gari miguu haitetemeki wala hapo haoni kizungu zungu .Hilo zoezi tu la kuruka na kutokea hapo juu ya gari lazima uwe fit.Huyo aweza dandia na kurukia nyuma ya lori la jeshi bila shida.Kamanda magufuli nimekuaminia uko fit.

Mwambieni Lowasa ajaribu kuiga hiyo naye tuone
 
Mi nampenda saaana magufuli lakini siipendi CCM.
Kura yangu kwa Lowassa
 
Safi sana huyo anafaa kuwa amiri jeshi mkuu.Anaweza kusimama hata sehemu ndogo tu juu ya gari miguu haitetemeki wala hapo haoni kizungu zungu .Hilo zoezi tu la kuruka na kutokea hapo juu ya gari lazima uwe fit.Huyo aweza dandia na kurukia nyuma ya lori la jeshi bila shida.Kamanda magufuli nimekuaminia uko fit.

Mwambieni Lowasa ajaribu kuiga hiyo naye tuone

nasikia hata mgambo hajaenda
 
Hizi lugha zifikie Kikomo....tuombe amani na utulivu....kila mgombea ana watu wake na wako wenye kuchukia mgombea wao anapotusiwa....matokeo yaweza leta vurugu.Niwasihi watanzania wenzangu tusifanye mzaha katika jambo hili ....Majuto ni mjukuu.
 
He is not enough for presidency post hatuwezi kuwa na raisi mwenye maamuzi ya kukurupuka ivo
 
Back
Top Bottom