Kaeni mkao wa kula! Massive Galaxy S8 leak reveals 25 new features

Kaeni mkao wa kula! Massive Galaxy S8 leak reveals 25 new features

We nyumbu mla vumbi maskini huna ubavu wa kununua iphone wala Samsung.
Wewe unayejifanya tajiri mbona unashinda humu kwanini usiingie kwenye forum za wakina Bill gates au zuckerberg wewe ni Nyani tuu waoshee bibi zao mtumwa mkubwa wewe
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Samsung nimewachoka.....naburudika zangu na tecno c9
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi nilishafunga ndoa na Samsung Galaxy S Series
 
  • Thanks
Reactions: SDG
samsung ni simu nzuri sanaaaa kispecification na kiuwezo wa camer ata umbo piaa....tatzo lao ni kitu kimoja tu....Yaani unaweza ukanunua leo simu milionii moja halafu baada ya miez 4 mwenzako anainunua ile ilee kwa laki 5....yn znashuka bei na thamani kwa kipnd kifupi sanaaa...na hii nafukiri inasababishwa na kua na matoleo ya series nyingii za simu yn seriez J...A...C...S......mm ilinibd niuze s7 ili niwe na iphone 6 japo kwa specification s7 iko juu lkn tatzo lake nililolihofia nihili la kushuka bei nikawa na hofu labda naweza kuja kuuza kwa bei ya chini sn uko badae....uzur wa iphone bei yn hazshuki kizembe kama samsung....ila samsung ni simu nzr sanaaaa yn
 
Hehehe, tatizo apple wakifanya kitu mnahisi wao ndio wameanzisha, hivi aliyetangulia kutengeneza simu zenye size mbili tofauti ni nani kati ya apple na samsung? Apple si ameanza juzijuzi tu hapa na iPhone 6+ sasa hivi ndiyo yupo iPhone 7. Samsung kaanza kutumia neno plus miaka zaidi ya 5 nyuma, na sio samsung tu, zipo kampuni nyingine nyingi zilizokua zinatumia neno plus before apple.

samahani mkuu simu gani ya miaka mi5 ilopita ya iyo samsung ilikua plus?????
 
Acha uongo wewe,Samsung wanatumia "min" kuna s3 na s3 min,s4,s4 min,s4 active. Hiyo plus labda kwa samsung mchina.
 
mbona zamani tu wanatumia hivyo? umesahau s6 edge na s6 edge plus? moja ndogo nyengine kubwa?
s5 na s5 plus je? toka 2014 mwanzoni, s2 na s2 plus je? toka 2011, kama kuna kuigana hapo basi Apple ndo ameiga.

link ya s2 plus toka 2011
Samsung I9105 Galaxy S II Plus - Full phone specifications

na hao iphone kutengeneza plus wameigia wapi si walikuwa wanaponda misimu mikubwa?

They were marketed as s2 and mini kitu kama hicho. Mimi nilichokuwa naongelea niwanavyomarket yani vile vile wanacopy 8 and 8+ yani kama ilivyo sasa iPhone 7 na 7+. Lakini before walikuwa na model s na note then ikaja hiyo edge wakawa wanajaribu jaribu hapo ilivyotoka iPhone6 na 6+
 
samahani mkuu simu gani ya miaka mi5 ilopita ya iyo samsung ilikua plus?????
2010 samsung s plus (miaka 7 iliopita)
Samsung I9001 Galaxy S Plus - Full phone specifications

2011 samsung s2 plus (miaka 6 iliopita)
Samsung I9105 Galaxy S II Plus - Full phone specifications

2012 samsung ace plus (miaka 5 iliopita)
Samsung Galaxy Ace Plus S7500 - Full phone specifications

bado hapo kuna vi galaxy y plus, sijui star plus na vyengine kibaoo, kwenye database ya gsmarena naziona simu 53 za samsung zenye majina ya plus.
Phone Finder results - GSMArena.com
 
86d2667840f42837a4b1095fe4c91bf7.jpg

Hiko kakitu kanafanania kweli premium phones tunazoongelea hapa??
 
Kwa nondo hizo akibishana...atakuwa bashite
 
86d2667840f42837a4b1095fe4c91bf7.jpg

Hiko kakitu kanafanania kweli premium phones tunazoongelea hapa??
mbona umepick simu dhaifu kushinda zote? sijaeka link moja mkuu kwanini usieke s6 edge plus kama unataka premium?

na galaxy s plus ni flagship ya 2010, s2 plus ni flagship ya 2011 zilikuwa zikipambana na iphone 4s na iphone 4,
 
7347bf47eca688bdb5c9f5ff23527dba.jpg
2d18ce219821326faba8e888c2655386.jpg

Sasa hiyo ilikuwaje plus na kushindana na simu yenye ukubwa karibia sawa au mmezoewa kudanganywa tuu.
 
Nasikia kuna "hujuma" ya janga la moto huko Samsung muda mfupi tu kabla ya ku release hiyo simu mpya!
 
Back
Top Bottom