Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,268
- 44,399
yametoka kwenye majina yamehamia kwenye specification?![]()
![]()
Sasa hiyo ilikuwaje plus na kushindana na simu yenye ukubwa karibia sawa au mmezoewa kudanganywa tuu.
lengo la juu ni majina ulisema samsung wamewaigia apple kwa kutumia jina plus, nimekuthibitishia kwamba samsung wanatumia neno plus kabla ya iphone ila naona umehamia kwenye specs, hata hilo nalo naweza kuthibitishia kwamba plus ya samsung sio jina tu,
angalia samsung galaxy s6 na samsung galaxy s6 edge plus, s6 edge plus ina kioo kikubwa, ram kubwa, battery kubwa etc
na kama link ya juu nilivyoonesha kuna simu 53 za samsung zenye neno plus toka 2010, bado tu unabishana samsung kamuiga iphone?
ni hao apple ndio wamemuiga samsung, sababu miaka yote samsung anatoa flagship ya kawaida na flagship yenye kioo kikubwa ambayo inakuwa na jina la note au jina la flagship na neno jengine mbele kama plus, pro, etc