Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,268
- 44,399
ninachomaanisha ni kwambaZilitoka pamoja kivipi? Samsung galaxy S2 imetoka February 2011 na Samsung galaxy S2 plus imetoka January 2013, hii ni difference ya miaka mingapi!? au unazungmzia S2 na Note? kama ni S2 na Note kumbuka S2 alikuwa na plus yake 2013 kwa hiyo hapa Note huwezi kumpa plus wala hukuwa toleo la plus, Sasa hapa tunaweza kusema kuwa zilitoka alongside kama Apple anavyotoa flagship zake na plus yake sasa hivi? Nashindwa kupata idea unataka kusema nini hapa
Tunasema Apple kaiga kutoa plus kwenye flagship phone zake kutoka Samsung na Samsung kaiga kutoa plus alongside kwenye flagship phone yake kutoka Apple
Maongezo ni kawaida tu kwa sababu ya kukua kwa technology, hata Dell angeamua kukomaa na Dell Streak kama Samsung alivyokamaa mpaka leo labda tungekuwa tunaongelea vitu vingine
1. samsung amei improve dell streak kwa kuongeza technology mpya kama stylus na sio tu kucopy kama alivyocopy apple kwa note,
2. simu kubwa za samsung zinakuwa na extra features compare na ndogo, mfano kioo kikubwa kinakuwa na kalamu, wanaimprove screen mfano hdr10 wide color gamut(note 7), battery, upindo wa screen (s6 edge na s7 edge) etc yapo mengi sana lakini kwa apple ni simu kubwa tu ina kioo kikubwa basi, sasa kwanini unataka kulazimisha na wao wame popularize kitu ambacho kina exist tayari kitu gani kipya katoa apple ambacho ndio wanaki popularize?
kuhusu s2 plus rudia tena link ya mwanzo, s2 plus zimetoka za inch 4.3 na 4.5 wakati mmoja na sio s2 ya kawaida ya february 2011