Post ya 2012 hiyo,watu wamefukunyua!Na hicho ndicho kitakacho sababisha siku nyingine akikamatwa apelekwe mochwari badala ya polisi waache waendelee kuulea ujinga huo.
Hawa wasaliti lazima tuwafahamu na dunia iwajue .Nani kapandisha huu uzi wa mwanazumari wa chama cha majipu ?
Umesikia mkuu , hawa wachumia tumbo wa ccm wanatia aibu sana .Nikifikiria huyu jamaa anavyoikejeli Bavicha napata sababu ya kuamini ndiye shoga yake na Shonza
Yan hii nchi sijui imefika wapi? Ndio maana wananchi wanashangilia wanapo sikia ma askari wame kufa.
Ngoja na leo weekend apotelee shimoni!JF kuna watu wabaya sana, sasa hii imemchafua na kumchefua Ruttashobolwa mpaka leo nzima hajaonekana jukwaani!
Basi ungehamia ACT na Zito wako!Niliondoka baada ya Lema akiongozwa na Tundu Lissu na baadhi ya wanachadema kuanza kumsakama Zitto kisa aliutaka uenyekiti na Urais na kisa hakuwa mchagga na mkristo na hakuwa ana toka kaskazini mwa tanzania....hebu jiulize mbona Lowasa ametangaza kuutaka Urais tena mbona hajasemwa...toka hapo niliichukia chadema kwa moyo wangu wote na sikuwai kujuta kutengana nao....
Aisii!! Hivi hakuna namna mtu anaweza kufuta uzi wake wa miaka hiyo? hahahahahahahah nacheka kwa dharauNa inavyo onekana ilitumwa kabis.
Sijui ule msemo wa sisiemu chama sikivu ndio maana yake!
Hawa jamaa ni hatari na inaonesha wako tayari kumwaga damu ili mradi wasitoke madarakani.
Acha kusingizia watu wenye roho ngumu, sema lazima uwe mwenda wazimu tena sio kichaa maana ukichaa ni ugonjwa.Kuitetea Ccm Lazima uwe na roho ngumu
Nazani ni kulowana na kuyanywa ndipo atapokufa.Mfa maji daima haachi kutapatapa!!Huyo jamaa hakupewa kibano?
Hana mkia sasahivi.Upepo wa Polepole kumbe ulimvuta Kamanda eee!
Njaa mbaya sana