Kada wa CCM anashikiliwa na polisi kwa kuwatishia wafuasi wa CHADEMA kwa bastola

Kutoka Arusha jeshi la polisi lina mshikilia mfuasi wa CCM kwa kutaka kuwateka wafuasi wa CHADEMA walio kuwa kwenye harakati za maandalizi ya mikitano ya udiwani.

Mtoa taarifa ameeleza ya kwamba wafuasi wa CHADEMA walikuwa kwenye harakati za kuandaa mikutano ya kugombea udiwani ghafla alitokea mfuasi wa ccm aliye kuwa amebeba bastola na kuwambia waache kuendelea na shughuli zao, baada ya purukushani kwa kuwa vijana wa cdm walikuwa wengi waliweza kumdhibiti na kumweka chini ya ulinzi na kuwaita polisi wamchukue!

Kwa ufatiliaji ili onekana kuwa ulikuwa imepangwa kuharibu mikutano ya CHADEMA.

Ninacho jiuliza ni kwamba kwa nini siasa zina tupeleka huku, leo kutishiana silaha imekuwa kawaida hasa wafuasi wa ccm na viongozi wao wame kuwa mstari wa mbele kutishia watu kwa silaha na wamekuwa wanaangaliwa yamkini wako juu ya sheria.

Ni vyema CCM waka jua hii nchi siyo ya kwao ni yetu sote na safari yao wame iandaa wenyewe.

Na kamwe CCM hamtozuia mabadiliko kwani ni wakati wake!

Source: clouds fm (zilizo tufikia)
Hivi wewe ni Ruttashobolwa ninae ifahamu michango yako humu au ID imetumika na mwingine?? Wewe ni wakupost habari hii kweli!? Huenda umeanza kushi katika uhalisia lakini sina imani kabisaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Wangemkata visigino kama yule jamaa aliyetumwa na prof kuharibu mkutano wa maalim
 
mtuhumiwa alipelekwa kituo cha polisi USA river but taarifa za sasa hivi ni kwamba ameshaachiwa huru baada ya viongozi wa juu wa CCM Arusha kuwapigia simu polisi
Na hicho ndicho kitakacho sababisha siku nyingine akikamatwa apelekwe mochwari badala ya polisi waache waendelee kuulea ujinga huo.
 
Hi
Kutoka Arusha jeshi la polisi lina mshikilia mfuasi wa CCM kwa kutaka kuwateka wafuasi wa CHADEMA walio kuwa kwenye harakati za maandalizi ya mikitano ya udiwani.

Mtoa taarifa ameeleza ya kwamba wafuasi wa CHADEMA walikuwa kwenye harakati za kuandaa mikutano ya kugombea udiwani ghafla alitokea mfuasi wa ccm aliye kuwa amebeba bastola na kuwambia waache kuendelea na shughuli zao, baada ya purukushani kwa kuwa vijana wa cdm walikuwa wengi waliweza kumdhibiti na kumweka chini ya ulinzi na kuwaita polisi wamchukue!

Kwa ufatiliaji ili onekana kuwa ulikuwa imepangwa kuharibu mikutano ya CHADEMA.

Ninacho jiuliza ni kwamba kwa nini siasa zina tupeleka huku, leo kutishiana silaha imekuwa kawaida hasa wafuasi wa ccm na viongozi wao wame kuwa mstari wa mbele kutishia watu kwa silaha na wamekuwa wanaangaliwa yamkini wako juu ya sheria.

Ni vyema CCM waka jua hii nchi siyo ya kwao ni yetu sote na safari yao wame iandaa wenyewe.

Na kamwe CCM hamtozuia mabadiliko kwani ni wakati wake!

Source: clouds fm (zilizo tufikia)

hivi hii post iliandikwaga na mkuu Ruttashobolwa,?kweli watu wanabadilika,nikianalia post zake za leo,du kweli njaa haijawahi kumwacha mtu salama
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kutoka Arusha jeshi la polisi lina mshikilia mfuasi wa CCM kwa kutaka kuwateka wafuasi wa CHADEMA walio kuwa kwenye harakati za maandalizi ya mikitano ya udiwani.

Mtoa taarifa ameeleza ya kwamba wafuasi wa CHADEMA walikuwa kwenye harakati za kuandaa mikutano ya kugombea udiwani ghafla alitokea mfuasi wa ccm aliye kuwa amebeba bastola na kuwambia waache kuendelea na shughuli zao, baada ya purukushani kwa kuwa vijana wa cdm walikuwa wengi waliweza kumdhibiti na kumweka chini ya ulinzi na kuwaita polisi wamchukue!

Kwa ufatiliaji ili onekana kuwa ulikuwa imepangwa kuharibu mikutano ya CHADEMA.

Ninacho jiuliza ni kwamba kwa nini siasa zina tupeleka huku, leo kutishiana silaha imekuwa kawaida hasa wafuasi wa ccm na viongozi wao wame kuwa mstari wa mbele kutishia watu kwa silaha na wamekuwa wanaangaliwa yamkini wako juu ya sheria.

Ni vyema CCM waka jua hii nchi siyo ya kwao ni yetu sote na safari yao wame iandaa wenyewe.

Na kamwe CCM hamtozuia mabadiliko kwani ni wakati wake!

Source: clouds fm (zilizo tufikia)
hey, leo vipi? Mapoliccm leo wamepokea maelekezo kutoka chini? Mabadilikoooooooo!
 
mkuu habari yako katika unafki wako wa kiwango cha lami?
 
Niliondoka baada ya Lema akiongozwa na Tundu Lissu na baadhi ya wanachadema kuanza kumsakama Zitto kisa aliutaka uenyekiti na Urais na kisa hakuwa mchagga na mkristo na hakuwa ana toka kaskazini mwa tanzania....hebu jiulize mbona Lowasa ametangaza kuutaka Urais tena mbona hajasemwa...toka hapo niliichukia chadema kwa moyo wangu wote na sikuwai kujuta kutengana nao....
hivi sasa huna mkia haha haha hahaa njaa hizi
 
Niliondoka baada ya Lema akiongozwa na Tundu Lissu na baadhi ya wanachadema kuanza kumsakama Zitto kisa aliutaka uenyekiti na Urais na kisa hakuwa mchagga na mkristo na hakuwa ana toka kaskazini mwa tanzania....hebu jiulize mbona Lowasa ametangaza kuutaka Urais tena mbona hajasemwa...toka hapo niliichukia chadema kwa moyo wangu wote na sikuwai kujuta kutengana nao....
Mkuu, lakini bado unaamini kwamba CCM wapo tayari hata kumwaga damu ili wabaki madarakani kama ulivyosema mnamo mwaka 2012?
 
Rais aliwahi kusema MTU anakuja na silaha kama hiyo, haji kufanyia maonesho, anakuja kuitumia hivyo awahiwe mapema kunyang'anywa,, Waziri wa mambo ya ndani akasema wasitokomee mahali posipojulikana bali watokomee mahali panapojulikana ambapo ni -------, Tunawapongeza mmeanza vizuri kuwadhibiti wahalifu hawa
 
Kutoka Arusha jeshi la polisi lina mshikilia mfuasi wa CCM kwa kutaka kuwateka wafuasi wa CHADEMA walio kuwa kwenye harakati za maandalizi ya mikitano ya udiwani.

Mtoa taarifa ameeleza ya kwamba wafuasi wa CHADEMA walikuwa kwenye harakati za kuandaa mikutano ya kugombea udiwani ghafla alitokea mfuasi wa ccm aliye kuwa amebeba bastola na kuwambia waache kuendelea na shughuli zao, baada ya purukushani kwa kuwa vijana wa cdm walikuwa wengi waliweza kumdhibiti na kumweka chini ya ulinzi na kuwaita polisi wamchukue!

Kwa ufatiliaji ili onekana kuwa ulikuwa imepangwa kuharibu mikutano ya CHADEMA.

Ninacho jiuliza ni kwamba kwa nini siasa zina tupeleka huku, leo kutishiana silaha imekuwa kawaida hasa wafuasi wa ccm na viongozi wao wame kuwa mstari wa mbele kutishia watu kwa silaha na wamekuwa wanaangaliwa yamkini wako juu ya sheria.

Ni vyema CCM waka jua hii nchi siyo ya kwao ni yetu sote na safari yao wame iandaa wenyewe.

Na kamwe CCM hamtozuia mabadiliko kwani ni wakati wake!

Source: clouds fm (zilizo tufikia)
Baada ya kununuliwa kwa gharama ya sahani ya wali na maharage ukaamua kusaliti umma .

Poor you !
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom