Kada wa CCM anashikiliwa na polisi kwa kuwatishia wafuasi wa CHADEMA kwa bastola

Niliondoka baada ya Lema akiongozwa na Tundu Lissu na baadhi ya wanachadema kuanza kumsakama Zitto kisa aliutaka uenyekiti na Urais na kisa hakuwa mchagga na mkristo na hakuwa ana toka kaskazini mwa tanzania....hebu jiulize mbona Lowasa ametangaza kuutaka Urais tena mbona hajasemwa...toka hapo niliichukia chadema kwa moyo wangu wote na sikuwai kujuta kutengana nao....
Basi ungehamia ACT na Zito wako!
 
Na inavyo onekana ilitumwa kabis.
Sijui ule msemo wa sisiemu chama sikivu ndio maana yake!

Hawa jamaa ni hatari na inaonesha wako tayari kumwaga damu ili mradi wasitoke madarakani.
Aisii!! Hivi hakuna namna mtu anaweza kufuta uzi wake wa miaka hiyo? hahahahahahahah nacheka kwa dharau
 
Back
Top Bottom