Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
MUWA UMEMNOGEA NAHODHA.[emoji2] [emoji2]mkuu atasaidiwaje wakat hata hashauriki...nahodha huyu anaelekea kuizamisha meli
MUWA UMEMNOGEA NAHODHA.[emoji2] [emoji2]mkuu atasaidiwaje wakat hata hashauriki...nahodha huyu anaelekea kuizamisha meli
Ati nini? Alishinda nani? Wewe ni mchochezikatika kosa ambalo watz watakuja kulijutia ni kumchagua huyu bwana,..japo inasemekana alishinda mweny nywele nyeupe
Kinachoangaliwa sio kufurahia au kutofurahia bali uhalisia wa kile ulichosema kama kiongozi na hekima iliyomo ndani yake
Hama nchi. Unamtisha nani?Hii nchi natamani kuhama
Ukweli ni upi!?, kwamba mtu akikataa kukupa mkono hapati stahiki zake au kuwanyoosha wapinzani?tumezoea wanasisa wanaotwambia uongo, tena mchana kweupe watasema nyeupe ni nyeusi, na nyekundu ni bluu,tutashangilia kwa kuelewa tunadanga nywa.huyu ni msema kweli,kutoka moyoni.sema hatujazoea kusikia ukweli.
Watu wa huku bara usije ukawafananisha na wa zanz ndio maana watu wenye kuelewa wanaona hiz kauli ni za kichochezi watu wa kule hawana utani kwenye haki pia mwambieni huyo jamaa swala la posho lipo kisheria na wala sio insani kwani shein anaelewa zaidi siasa za zanz kuliko mtu mwingineIlibidi Seif aambiwe ukweli.....inaonekana huwa mnavutiwa na hotuba za Rais sababu kila kukicha mnamnukuu.....inapendeza sana hii.
Na ukiwa kiongozi usiwagawe wananchi wako kwa tofauti zao!!Ukiwa kiongozi sio lazima wote wafurahia unachosema au unachofanya
Watu wa huku bara usije ukawafananisha na wa zanz ndio maana watu wenye kuelewa wanaona hiz kauli ni za kichochezi watu wa kule hawana utani kwenye haki pia mwambieni huyo jamaa swala la posho lipo kisheria na wala sio insani kwani shein anaelewa zaidi siasa za zanz kuliko mtu mwingine