Kabwili: Yanga bado wananilipa, nilipagawa, sina wa kumlaumu, narudi uwanjani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Ramadhan Kabwili amefunguka kuwa klabu yake ya Yanga iliamua kumpa likizo ya muda mrefu huku akiendelea kulipwa na Yanga kama kawaida

Anasema alipewa likizo ili akili yake itulie na atafute nafasi ya kuonana na mwanasaikolojia kutokana na kile ambacho kilitokea mitandaoni kumuhusu yeye.

Kabwili amekuwa nje kwa muda mrefu tangu mwaka jana, licha ya kuonyesha anaweza kuwa kipa mzuri siku zijazo wakati akichipukia klabuni hapo, ameshindwa kuonyesha uwezo mzuri huku tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zilitawala.

“Nilikuwa napitia wakati mgumu lakini sasa hivi niko sawa na nimeanza mazoezi, namshukuru Mungu kwa maendeleo mazuri.

“Sina mtu wa kumlaumu, hata kilichotokea mimi mwenyewe sijakielewa, nilipagawa kiakili, ilifikia hatua wakawa wananitenga.

“Sasa hivi kidogo nina maendeleo mazuri na mwisho wa msimu huu mwezi wa saba mkataba wangu wa Yanga utaisha kisha nitajua mwelekeo wangu.

“Familia yangu ilikuwa katika wakati mgumu lakini baada ya yote tulikaa chini tukazungumza na kuna mwelekeo mzuri.

“Kilichotokea kiliniathiri kama mchezaji, hata malengo yangu kama kijana hayakutimia. Suala bado lipo Polisi siwezi kulizungumza kwa undani.

“Timu yoyote ikinihitaji mkataba wangu utakapomalizika tukiafikiana nitakuwa tayari kufanya kazi kwa moyo wote kwa kuwa soka ni kazi yangu,” anasema Kabwili.




Chanzo: TV3 TANZANIA
 
Vip alikuwa anakula tigo au naliwa tigo, Mana wachezaji wangeluzi concentration kama angeendelea kuwepo kwenye timu
 
Kuna watu pale klabuni wanatuharibia watu. Kuna siku tu haya yatawekwa wazi. Hawa watu wanatuharibia sana wachezaji. Feiza naye sometimes kiwango kinashuka sababu ya huu ushenzi wa hao watu. Huwa nakwazika sana
 
Kuna watu pale klabuni wanatuharibia watu. Kuna siku tu haya yatawekwa wazi. Hawa watu wanatuharibia sana wachezaji. Feiza naye sometimes kiwango kinashuka sababu ya huu ushenzi wa hao watu. Huwa nakwazika sana
What?
 
Kasema suala lipo polisi
Kwani swala likiwa polisi unazuiliwa kuliongelea? Mahakamani tu ndo hutakiwi kuliongelea na hili pia inategemea unaongelea kuegemea angle ipi.Huyo jamaa aliliwa tigo ndo maana anajificha kwenye kivuli cha polisi.
 
Kiukweli Ile video ukiingalia yule sio Kabwili. Mungu amlaani huyo mtu aliyemchafua. Polisi wanashindwaje kumpata alieanza kuisambaza ile video?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom