Kabwili: Line walionipigia watu wa Simba nilishavunja

Angalieni GSM kaja kuwekeza kisoka sio kutetea kesi za kishambenga hii kesi ni heavy ni kama ya uhujumu uchumi

GSM akiona mambo magumu anawaachia shuka tu kama masai halafu muanze kulia kama mchizi aliyeachwa na hamida

It's Scarsdogo ana ushahidi wote,na kishawapa klabu na klabu imejiridhisha,kifuatacho kuna timu inaweza kushushwa daraja 😀
 

Attachments

  • Screenshot_20200129-174539_Instagram.jpg
    Screenshot_20200129-174539_Instagram.jpg
    103.2 KB · Views: 1
Una mtuhumuje kwamba hana ushahidi wakati uchunguzi hauja fanyika? Mikia acheni vitisho, subiri I uchunguzi ufanhike kwa haki na kima upande utoe ushahidi ndipo ukweli utajulikana.
Hawa ndiyo hufungwa, yaani unatoa tuhuma bila ushahidi - ujinga mkubwa!!

Simba peleka mahakamani huyu mjinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulishawaambia kuwa kusoma ni muhimu hata kama unapenda kucheza mpira soma upanue kichwa na uelewa wako.huyu mbumbumbu, golikipa namba tatu na ambaye hata hivyo hapangwi.ataongwaje IST kwa yellow card tu.uwepo wake uwanjani ni kama wa muhimu sana wakati ni pazia tu!!! kajitakia sasa!!!
 
Kwenye hii issue mkipinga kama mikia kuna wachezaji kibao wana evidence ya uchafu wenu na iko ndicho mnachoogopa,huko tff ni tawi lenu hili jambo watalimaliza kiujanja ujanja,ilitakiwa kama nyie muende mahakamani au mkashtaki hata huko tff halafu muone kitakachofuata,nyie ndio mliotuhumiwa ilibidi mreact kidogo halafu muone moto wake
Waende mahakama ipi, mana masuala ya soka hayatakiwi kupelekwa mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo inabidi ashikishwe ukuta...Oooh sorry, I mean adabu. Haiwezekani atumiwe kuichafua Simba halafu angaliwe tu.

Yaani Simba iache kutoa rushwa kwa kipa no.1 au 2 wa Yanga, ikahangaike na Kabwili golikipa no.3 ? Kuhongwa kwa kipa Maana yake yeye ni mkali kuliko hao wengine. KWA KWABILI HILI SI KWELI?

Eti Simba imhonge IST kwa ajili ya kadi ya njano. Kwahiyo ikiwa Simba ingetaka apate straight red card ingewalazimu kumhonga Range Rover, yenye thamani zaidi ya IST? Na je, kama Simba ingetaka acheze ila afungishe ingewapasa Simba wamhonge gari aina ya Ferrari au Bhugghatti ?

Siamini kwamba 2 yellow cards thamani yake ni IST.Hata kama gari hiyo ina bei chee lakini hakuna mjinga anaweza kutoa IST kwa ajili ya tukadi tuwili twa njano. AACHE UONGO!
Soma vizuri umuelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya mawasiliano inazitaka kampuni za simu kutunza kumbukumbu kwa miaka mitano. Saver Ina kumbukumbu zote za voice na data tangu ulipo anza mpaka siku ya mwisho. Ukweli utajulikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani hebu tulieni vyombo vifanye kazi zake.
Ikibainika nikweli lazima club iwajibike.
 
uongozi wa simba ni tatizo kwa sababu wamekuwa wakisingiziwa maneno lakini wanakaa kimya sasa hivi walitakiwa wawachukulie hatua huyo kipa pamoja na television iliyomhoji wa kuichafua brand ya simba lakini wao wamekaa wakisubiri uchunguzi wa TFF na tunavyowajua TFF hivi vitu huwa vinaishia hewani mwisho wake watu wataamini kuwa kweli simba ilikuwa inahonga wakati timu yenye historia ya kuhonga inajulikana mpaka viongozi wake wakafungiwa maisha na CAF au kuna wengine mlikuwa hamjazaliwa
 
atajuta kutoa kashfa pasina ushahidi, amesahau kama mchezaji haitakiwi kuwa shabiki. ndo mana unaona leo Niyonzima yupo simba kesho yupo tena yanga.
nimuambie tu kashajiharibia kisoko na atajuta juu ya hili
Mtasema Nini ushahidi ukitolewa? Simba siyo Mara ya Kwanza kujaribu kuhonga wachezaji wa yanga na hata timu nyingine. Je mmeshasahau Mara hi wale wachezaji wawili wa yanga waliorekodi mazungumzo Kati yao na kiongozi mmoja wa Simba na viongozi wa yanga wakaja juu na Mambo yakamalizwa kishikaji..mmesahau ya ulumboka na kado?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom