Kabwili: Line walionipigia watu wa Simba nilishavunja

Huyu dogo inabidi ashikishwe ukuta...Oooh sorry, I mean adabu. Haiwezekani atumiwe kuichafua Simba halafu angaliwe tu.

Yaani Simba iache kutoa rushwa kwa kipa no.1 au 2 wa Yanga, ikahangaike na Kabwili golikipa no.3 ? Kuhongwa kwa kipa Maana yake yeye ni mkali kuliko hao wengine. KWA KWABILI HILI SI KWELI?

Eti Simba imhonge IST kwa ajili ya kadi ya njano. Kwahiyo ikiwa Simba ingetaka apate straight red card ingewalazimu kumhonga Range Rover, yenye thamani zaidi ya IST? Na je, kama Simba ingetaka acheze ila afungishe ingewapasa Simba wamhonge gari aina ya Ferrari au Bhugghatti ?

Siamini kwamba 2 yellow cards thamani yake ni IST.Hata kama gari hiyo ina bei chee lakini hakuna mjinga anaweza kutoa IST kwa ajili ya tukadi tuwili twa njano. AACHE UONGO!
Ashikishwe ukuta mara ngapi
 
Ulitakaje wakati TFF walishalichukua,au ulitaka tufumgue mashitaka mengine
Kwenye hii issue mkipinga kama mikia kuna wachezaji kibao wana evidence ya uchafu wenu na iko ndicho mnachoogopa,huko tff ni tawi lenu hili jambo watalimaliza kiujanja ujanja,ilitakiwa kama nyie muende mahakamani au mkashtaki hata huko tff halafu muone kitakachofuata,nyie ndio mliotuhumiwa ilibidi mreact kidogo halafu muone moto wake
 
Sasa yule mpiga mdomo mbona hakuna saini yake hapo? Au ana mamlaka Insta tu? 🤣
Porojo tu nyingi,hili jambo mikia wangelibeba kama mikia kulisimamia au kushtaki karma ambayo ingewapata wangejuta,lakini wameshtuka kujifanya kuiachia tff ilisimamie ili suala,mikia ndio watuhumiwa lakini hata huko tff hawajalalamika zaidi ya kudai eti wamewaachia tff hili jambo 🤣
 
Mawasiliano yote,na maanisha msg,simu zilizo pigwa huwa yana hifadhiwa kwenye server za mtandao husika na pale mawasiliano uliyofanya Yakihitajika kutumika kwa usalama, simu iliyopigwa ita tafutwa na maongezi yote uliyofanya wakati na saa husika yatapatikana cha msingi ni namba ambayo chip yake ilivunjwa.
Waliompigia simu kabwili bila shaka watapatikana na maongezi yao kama ikiwapendeza TCRA ma Polisi watu wekee hadharani ili jamii ijifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Porojo tu nyingi,hili jambo mikia wangelibeba kama mikia kulisimamia au kushtaki karma ambayo ingewapata wangejuta,lakini wameshtuka kujifanya kuiachia tff ilisimamie ili suala,mikia ndio watuhumiwa lakini hata huko tff hawajalalamika zaidi ya kudai eti wamewaachia tff hili jambo 🤣
Wanajua yaliyoendelea ndio maana.🤣🤣🤣🤣

Nilivyoona anamrusha Kabwili kavaa vipensi nikajua ana jambo la mana kumbe anamrusha ili watu wamdhihaki na kumkashifu angalau na yeye apate ahueni ya nafsi. Aiseeee!!!.
 
Yule jamaa akili zake anazijua mwenyewe
 
Hirizi wao.
Kuhonga marefa wao .
Kurubuni wachezaji wao .
Kumwaga dawa vyumba vya timu pinzani wao.
Mechi zote za Yanga alizocheza na Simba toka msimu uliyopita amepingwa faini kwa sababu za imani ya kushirikina.
Msimu huu tu Yanga imepigwa faini jumla zaidi ya milioni mbili na nusu kwa imani za kishirikina.
Yanga na ushikina sawa samaki na maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbavu kabisa huyu pimbi anatumiwa na mabeberu kutoka upande wa pili kuichafua simba

Line kuivunja bado sio suluhu cha msingi ni kuijua namba husika ya iyo line. Watu wanaweza kupata info zote kirahisi tu maana hili ni swala nyeti

Na uongozi wa simba sports club umejipanga kikamilifu kukabiliana na shutuma hii iliyotengenezwa kuichafua club

Tunawahukumu kwa silaha waliokuja nayo kutushambulia

It's Scars
 
Duuh!! Mnavyomkalia kooni utadhania kitu gani. Lol.

Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii.
Kuna usemi ambao ukitolewa hauzingatiwi kulingana na situation yenyewe

Kwa mchezaji kutoa maneno kama yale hususani katika vyombo vya habari hiyo haileti picha nzuri

It's Scars
 
Huyu dogo inabidi ashikishwe ukuta...Oooh sorry, I mean adabu. Haiwezekani atumiwe kuichafua Simba halafu angaliwe tu.

Yaani Simba iache kutoa rushwa kwa kipa no.1 au 2 wa Yanga, ikahangaike na Kabwili golikipa no.3 ? Kuhongwa kwa kipa Maana yake yeye ni mkali kuliko hao wengine. KWA KWABILI HILI SI KWELI?

Eti Simba imhonge IST kwa ajili ya kadi ya njano. Kwahiyo ikiwa Simba ingetaka apate straight red card ingewalazimu kumhonga Range Rover, yenye thamani zaidi ya IST? Na je, kama Simba ingetaka acheze ila afungishe ingewapasa Simba wamhonge gari aina ya Ferrari au Bhugghatti ?

Siamini kwamba 2 yellow cards thamani yake ni IST.Hata kama gari hiyo ina bei chee lakini hakuna mjinga anaweza kutoa IST kwa ajili ya tukadi tuwili twa njano. AACHE UONGO!
Halafu hata simba ingetaka hivyo isingepitia kwa kipa, ingeweza kusuka mchongo na refa tu

Huyu pimbi round hii anacho

It's Scars
 
Hirizi wao.
Kuhonga marefa wao .
Kurubuni wachezaji wao .
Kumwaga dawa vyumba vya timu pinzani wao.

Kuongea pumba na uongo nyinyi

Kuomba omba na vibakuli nyinyi

Kuvunja line ya ushahidi nyinyi

Kupenda kuhongwa IST nyinyi

It's Scars
 
atajuta kutoa kashfa pasina ushahidi, amesahau kama mchezaji haitakiwi kuwa shabiki. ndo mana unaona leo Niyonzima yupo simba kesho yupo tena yanga.
nimuambie tu kashajiharibia kisoko na atajuta juu ya hili
Bora ajikite kwenye ushabiki maana kisoka hajiwezi, kama alishindwa kupata kiki kupitia kipaji chake ila tangu alipotoa kashfa ya uongo ame trend ghafla kwanini asi-concentrate kwenye michambo?

It's Scars
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom