Kabwili: Line walionipigia watu wa Simba nilishavunja

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,774
102,132


Huyu kaingia kwenye 18 zetu na bahati mbaya wanaomtumia wameshaanza kumkana na wanalaumu TFF eti wamekuwa wakali sana kwenye suala hili.

Dogo anasema line alishavunja baada ya kushauriwa na watu wake kuwa ili Simba isiendelee kukufuata fuata basi vunja line
 
Huyu dogo inabidi ashikishwe ukuta...Oooh sorry, I mean adabu. Haiwezekani atumiwe kuichafua Simba halafu angaliwe tu.

Yaani Simba iache kutoa rushwa kwa kipa no.1 au 2 wa Yanga, ikahangaike na Kabwili golikipa no.3 ? Kuhongwa kwa kipa Maana yake yeye ni mkali kuliko hao wengine. KWA KWABILI HILI SI KWELI?

Eti Simba imhonge IST kwa ajili ya kadi ya njano. Kwahiyo ikiwa Simba ingetaka apate straight red card ingewalazimu kumhonga Range Rover, yenye thamani zaidi ya IST? Na je, kama Simba ingetaka acheze ila afungishe ingewapasa Simba wamhonge gari aina ya Ferrari au Bhugghatti ?

Siamini kwamba 2 yellow cards thamani yake ni IST.Hata kama gari hiyo ina bei chee lakini hakuna mjinga anaweza kutoa IST kwa ajili ya tukadi tuwili twa njano. AACHE UONGO!
 
Duuh!! Mnamkalia kooni mtoto wa watu utadhania kitu gani. Lol.

Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii. 😎😎

Unamuona mtoto huyo wakati ameshavusha miaka 18, angekuwa mtoto angeenda kuhojiwa katika kipindi cha watoto
 
Huyu dogo kaninyima usingizi kabisa na mambo ya hovyo aliyoyasema, hivi huko yanga hawapewagi semina namna ya kuongea jamani! Kinajiona kichezajiii kumbe kipimbi Fulani tu na hakina namba kwenye timu. Hivi kilimaliza shule kweli kile kidogo? Kilitakiwa kiwe form two time hizi.
 


Huyu kaingia kwenye 18 zetu na bahati mbaya wanaomtumia wameshaanza kumkana na wanalaumu TFF eti wamekuwa wakali sana kwenye suala hili.

Dogo anasema line alishavunja baada ya kushauriwa na watu wake kuwa ili Simba isiendelee kukufuata fuata basi vunja line


Anaitaji tu kusema namba, Hata kama Kavunja sio shida, amechemka na itakupa kwake!
 
Duuh!! Mnavyomkalia kooni utadhania kitu gani. Lol.

Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii.
Angalia hapa walivyokua wapole
Screenshot_20200128-230255_Instagram.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!! Mnavyomkalia kooni utadhania kitu gani. Lol.

Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii. 😎😎

Huyu inabidi alimwe adhabu ya kufa mtu, ili liwe funzo kwa wengine siku zijazo.. Mpira unachafuliwa sana na tuhuma za match fixing..
 
Hata kama line imevunjwa - bado TCRA wanaweza kuwa na records za sauti...dogo atoe ushahidi na kama HANA akanyee debe.
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom