Kabwili: Line walionipigia watu wa Simba nilishavunja

Porojo tu nyingi,hili jambo mikia wangelibeba kama mikia kulisimamia au kushtaki karma ambayo ingewapata wangejuta,lakini wameshtuka kujifanya kuiachia tff ilisimamie ili suala,mikia ndio watuhumiwa lakini hata huko tff hawajalalamika zaidi ya kudai eti wamewaachia tff hili jambo
Angalieni GSM kaja kuwekeza kisoka sio kutetea kesi za kishambenga hii kesi ni heavy ni kama ya uhujumu uchumi

GSM akiona mambo magumu anawaachia shuka tu kama masai halafu muanze kulia kama mchizi aliyeachwa na hamida

It's Scars
 
"E="Payrol, post: 34226355, member: 476851"]
Mechi zote za Yanga alizocheza na Simba toka msimu uliyopita amepingwa faini kwa sababu za imani ya kushirikina.
Msimu huu tu Yanga imepigwa faini jumla zaidi ya milioni mbili na nusu kwa imani za kishirikina.
Yanga na ushikina sawa samaki na maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]Shadeeya pitia hiyo Comment hapo👆 halafu utuambie mtaacha lini UCHAWI kwenye mpira. Wachawi Fc"
 
Mawasiliano yote,na maanisha msg,simu zilizo pigwa huwa yana hifadhiwa kwenye server za mtandao husika na pale mawasiliano uliyofanya Yakihitajika kutumika kwa usalama, simu iliyopigwa ita tafutwa na maongezi yote uliyofanya wakati na saa husika yatapatikana cha msingi ni namba ambayo chip yake ilivunjwa.
Waliompigia simu kabwili bila shaka watapatikana na maongezi yao kama ikiwapendeza TCRA ma Polisi watu wekee hadharani ili jamii ijifunze.

Sent using Jamii Forums mobile app

Vyura sidhani kama walifikiria na kufika angle hiyo

Walidhani wakimtuma aongee uongo halafu wakimuuliza kuhusu line akisema aliivunja basi mchezo unakua umeishia hapo na tuhuma zote zilizotolewa juu ya simba zinachukuliwa kua ni kweli

Hii ni noma kama kuchepuka na mke wa mganga

It's Scars
 
Wanajua yaliyoendelea ndio maana.

Nilivyoona anamrusha Kabwili kavaa vipensi nikajua ana jambo la mana kumbe anamrusha ili watu wamdhihaki na kumkashifu angalau na yeye apate ahueni ya nafsi. Aiseeee!!!.

Mi nilikua simjui kabwili nilivyoona kanyuka kipensi nikajua ni mtoto wa zahera anafatilia deni la baba yake

Anyway tuachana na hayo

Vipi ratiba ya kwenda kumtembelea kabwili jela inawekwa lini?

It's Scars
 
Mechi zote za Yanga alizocheza na Simba toka msimu uliyopita amepingwa faini kwa sababu za imani ya kushirikina.
Msimu huu tu Yanga imepigwa faini jumla zaidi ya milioni mbili na nusu kwa imani za kishirikina.
Yanga na ushikina sawa samaki na maji.

Shadeeya pitia hiyo Comment hapo👆 halafu utuambie mtaacha lini UCHAWI kwenye mpira. Wachawi Fc"
Heeeee. Mumegeukia uchawi Mtani.

Subirini hili la kununua wachezaji lipite kwanza.
 
Duuh!! Mnavyomkalia kooni utadhania kitu gani. Lol.

Wangapi wameshawahi kusema mbona hamjawasimamia na kucha namna hii. 😎😎
Hao si ndio wanawaaminisha mashabiki kila siku kwamba Lunyasi wanatembeza muamala wakati Simba kiwango chao ni level nyingine kabisa hasa msimu huu wa ligi. Yeye athibitishe tu madai yake, hana cha utoto wala nini, watoto wako shule saizi
 
maendeleo hayana chama
IMG-20200129-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao si ndio wanawaaminisha mashabiki kila siku kwamba Lunyasi wanatembeza muamala wakati Simba kiwango chao ni level nyingine kabisa hasa msimu huu wa ligi. Yeye athibitishe tu madai yake, hana cha utoto wala nini, watoto wako shule saizi
Hebu tunyweni Mtori nyama tutazikuta chini. Tuacheni Kamati iliyoundwa ifanye kazi na pale itakapothibitika si kweli basi ndio muje kumwaga hizo nyongo zenu Ses.
 


Huyu kaingia kwenye 18 zetu na bahati mbaya wanaomtumia wameshaanza kumkana na wanalaumu TFF eti wamekuwa wakali sana kwenye suala hili.

Dogo anasema line alishavunja baada ya kushauriwa na watu wake kuwa ili Simba isiendelee kukufuata fuata basi vunja line

kinachonichosha mimi ni pale ninaposikia akidai kuwa simba walitaka kumhonga ili atafute kadi nyingine ya njano kwa makusudi ili asidake mechi na simba kwa kuwa yule ambae angedaka angefungika kwa urahisi. Najiuliza kwa nn Simba wasimhonge kipa ambaye direct angedaka mechi hiyo ili wafunge kupitia yeye moja kwa moja? any way acha tuwe watulivu tukisubiri ni nini mwisho wa hili sakata.
 
Line ya simu sio issue.. Ushahidi upo.. Anasubiriwa Mhindi wenu aje amwage pesa wajanja wale.
Ushawahi sikia wapi pesa ya mhindi inalika kindezi?

Unafikiri GSM atakua mjinga atetee ujinga ili serikali itaifishe Magodoro yake?

Juzi mmetembea kwenye mpira saizi mnatembea kwenye kiki ya IST, sasa kabwili akiwa selo mjiamdae kumtembelea central

It's Scars
 
Ushawahi sikia wapi pesa ya mhindi inalika kindezi?

Unafikiri GSM atakua mjinga atetee ujinga ili serikali itaifishe Magodoro yake?

Juzi mmetembea kwenye mpira saizi mnatembea kwenye kiki ya IST, sasa kabwili akiwa selo mjiamdae kumtembelea central

It's Scars
Wenzio wanazitafuna kila siku. Unadhani kwa nini alitaka kubwaga manyanga?
Kagundua walivyopiga pesa zake kwenye usajili.
Kila siku kuna mwanya wa kula pesa yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom