Ben,
ilishasemekana wewe ni bingwa wa propaganda.acha spinning hapa.Sipati picha ungeingia kamati kuu,si ungewavuraga wajumbe kwa hoja zako taat ili kuimarisha mtandao wenu.ni siuala la muda tu mlishamtanguliza kafulila huko awaandalie makao.Ubunge kupitia chadema ng'o.naskia unafanya jitihada za kuanzisha fundraising kwa vijana wa mtandao wenu waingie majimboni sasa sijui ni kwa nini usingeipeleka hiyo programa kupitia BAVICHA
Zitto nae,jana alionyesha waziwazi kwamba anawadharau wabunge wa viti maalumu.nitapeleka hoja kamati kuu hili suala lijadiliwe.
Acha vitisho mkuu mbona CCM mnawaandika majesticaly tena in details na huwa hamsemi na hamtishii watu. Zito juzi ameandika bila kuficha khs Mbowe na gazeti lake. Ili kukisafisha chama ni lazima kwanza tusafishe mamluki wote. kama unapendezwa na yanayozungumzwa na ZITO n his company anzisheni chama chenu. Usilete vitisho vyako hapa jamvin!! Pa.........ka we.Endelea na ID zako lakini jua uvumilivu unakikomo, unacheza michezo ya kitoto sana mdogo wangu
Hamna Bundi ndani ya Cdm tunafahamu hii ni janja ya CCM kuivuruga Cdm kupitia hao vijana wenye upeo mdogo wa kufikiri na Short sight mind. Tumeona jinsi NCCR, CUF vilivyokufa kupitia mamluki kama hawa, sasa hv watz tumeelimika hatudanganyiki.Bundi kaishaingia CDM hata NCCR-MAGEUZI, walianza hivi hivi
Haya ni maneno ya ben saanane unaweza kumsoma hapo chini ni mtu wa aina gani.ni mtu anayependa mgogoro na mivutano.hii nimeibua kwenye mojawapo ya post zake humu...watanikoma mwaka huu alikuwa anamjibu Nguruvi3Nguruvi3,
Asante sana,maneno yako mazito mkuu.I feel a great sense of optimism in spite of the obstacles. That is the power of youth spirit and wise elders. CHADEMA has had its great and low moments, but that is true of all a serious political parties and lands in the world. The energy to draw now from those great moments are embedded in our youth, it is demonstrated in the feat we accomplish when we do great deeds and score remarkable goals
Hata kwenye Management mojawapo ya kitu muhimu ni kuhakikisha unafuatilia kujua kama kuna mgogoro ama la.Taasisi,kampuni au chama chochote cha siasa kisipokuwa na migogoro basi ujue you in a big trouble as a leader.Haiwezekani kusiwe na mgogoro,Human beings are social Animals and agin they are fragile and selfish beings.Vyama vya siasa na taasisi zimeundwa na watu hivyo ni lazima kuwe na migogoro.Kitu muhimu kuliko vyote ni kuhakikisha migogoro hiyo haiendi out of control.cha muhimu ni kujua jinsi ya kukabiliana nayo na kwa muda gani utoke hapo tusonge mbele.na hili ndilo litakalotofautisha taasisi,kampuni,chama cha siasa na vingine
Nakubaliana na wewe na Mwanakijiji kwamba mabadiliko sasa na maamuzi ya kushughulikia mgogoro yafanyike mapema.nimetumia mgogoro kwa sababu hata mabadiliko ni mgogoro kwa sababu it involves the aspiring spirit(Ant-status quo) vs the status quo vinginevyo itazaa defacto.....
From industry, through civil society to the world of research and development, towards the important crucible of leadership, politics and management of development, I call on fellow young Tanzanians today to bury the preoccupation with anger, cynicism and inertia and move in the direction of taking control of the destiny of our nation
Sina haja ya kumrarua Zitto! ila nachoelewa kama Zitto anadai ubunge umetolewa kama Zawadi ni kumdharau Mama yake (ikumbukwe mama yake alikuwepo kwenye baraza) na pia ni dharau za wazi kwa KITILIA as yeye alichair hii process.kwani merytina aliyeambiwa amepewa ubunge viti maalumu umemsikia analalamika?....na wewe je ulipewa au hukupewa?
Kama Zitto ana nguvu hii kwanini hoja zake zinapigwa na Mawaziri? Hawaogopi kunyang'anywa vyeo na JK? Just a pc of thought!Sina haja ya kumrarua Zitto! ila nachoelewa kama Zitto anadai ubunge umetolewa kama Zwawdi ni kumdharau Mama yake (ikumbukwe mama yake alikuwepo kwenye baraza) na pia ni dharau za wazi kwa KITILIA as yeye alichair hii process.Zitto alikuwa awe hata rais kwa siku zijazo kama angejiweka kando na MAFISADI wa CCM. Kipindiflani Zitto alikuwa na nguvu kubwa CCM kumzidi hata Msekwa.Zitto aliweza kumwelekeza JK how to deal with mwanaccm flani flani.Baadaye wajumbe wa CCM walimwogopa na kumchukia Zitto (walihisi hawako salama mbele ya Zitto ndani ya ccm), Zitto alipogundua hili akahamisha mwelekeo kuiota NCCR.Nawahakikishia wanachama wa CCM wanampenda sana Zitto.Wajumbe wa mabaraza ya CCM wanamchukia zitto kuliko mtu yeyote manake anaweza kuwaondoa kwenye nafasi zao kupitia kwa JK.
ndio maana nikakwambia hiviiiii-viongozi wa CCM wa mabaraza yote iwe hata baraza la mawaziri au spika HAWATAKI kusikia jina Zitto, as Zitto amebeba mkono wa jk anaweza kuutumia sekunde yeyote.Kama Zitto ana nguvu hii kwanini hoja zake zinapigwa na Mawaziri? Hawaogopi kunyang'anywa vyeo na JK? Just a pc of thought!
ndio maana nikakwambia hiviiiii-viongozi wa CCM wa mabaraza yote iwe hata baraza la mawaziri au spika HAWATAKI kusikia jina Zitto, as Zitto amebeba mkono wa jk anaweza kuutumia sekunde yeyote.
Patamu: Zitto hawezi kuutumia mkono wa JK kwenye issues za ujenzi wa Taifa BALI anaweza kuutumia linapokuja swala la MAJUNGU ndani ya serikali na CCM.
Kuna wakati UVCCM wote wanamuangukia Zitto, Baraza la wazazi wanampigia magoti Zitto,
kuna mdada aliwahi kuniambia 2008 kuwa ataongea na Zitto ili amsaidie kupata cheo ndani ya CCM
JK akiachia uenyekiti wa CCM ni wazi Zitto ataanza kuheshimu chama chake CDM au atimue kabisa kuelekea NCCR
nani huyo alokuwa daruso?mkumbo..mkumbo ndo alivyo tangu akiwa raisi wa daruso miaka ya 1998/99