Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

Status
Not open for further replies.
Ndugu wana JF,

kulingana na mfululizo wa posts zilizomo humu, nimeweza kujua kwamba Miss Parliament na Marytina ni mtu mmoja. Na huyu mtu ni mbunge wa viti Maalumu kupitia CHADEMA. Na kwa haraka haraka nimeweza kugundua kwamba huyu anayejiita miss P na Marytina, ni kiroboto ndani ya CHADEMA. Kama yeye ni member wa kamati kuu ya CHADEMA anawezaje kuja kuyasema mambo ya ndani ya chama kwenye social network?

Huyu mtu si salaama kwa ustawi wa CHADEMA. Kama kamati kuu ya CHADEMA ndiyo ina watu wenye akili kama hii, basi hiki chama hakina mwisho mzuri. Kinakufa kesho tu. Ninafikiri kama Mbowe ndiyo huwa anafanya uteuzi wa hawa watu basi aangalie upya. Hivi hapa ndiyo mahali pa kuja kuumbuana na kukatishana tamaa? Kiasi cha kumwambia mtu ondoka, nenda NCCR. Kwa taarifa yako wengi wetu tumeanza kupata hisia wewe ni nani? ID yako fake isikufanye ujione uko safe kiasi hicho. Acha kabisa huu utoto unaoufanya sasa wa kuwapa faida CCM.
 
ndio maana nikakwambia hiviiiii-viongozi wa CCM wa mabaraza yote iwe hata baraza la mawaziri au spika HAWATAKI kusikia jina Zitto, as Zitto amebeba mkono wa jk anaweza kuutumia sekunde yeyote.

Patamu: Zitto hawezi kuutumia mkono wa JK kwenye issues za ujenzi wa Taifa BALI anaweza kuutumia linapokuja swala la MAJUNGU ndani ya serikali na CCM.
Kuna wakati UVCCM wote wanamuangukia Zitto, Baraza la wazazi wanampigia magoti Zitto,
kuna mdada aliwahi kuniambia 2008 kuwa ataongea na Zitto ili amsaidie kupata cheo ndani ya CCM

JK akiachia uenyekiti wa CCM ni wazi Zitto ataanza kuheshimu chama chake CDM au atimue kabisa kuelekea NCCR

Kwa vyovyote iwavyo, naamini maelezo yako kwa 85%, pasua tujenge sio kuleana kama CCM haya mambo ndo yametufikisha hapa tulipo takriban 50 yrs
 
inawzekana ila ni bora kwa ujenzi wa taifa la haki sio unafiki
 
Kama kweli wewe ni mbunge wa kuzawadiwa wa CDM Im so sorry to tell you that your too cheap, too low.
For how long will u be used?????? Then u got to learn the meaning of being in right place to speak what concernig to internal affairs za CDM
 
Kwa vyovyote iwavyo, naamini maelezo yako kwa 85%, pasua tujenge sio kuleana kama CCM haya mambo ndo yametufikisha hapa tulipo takriban 50 yrs
Hivi CDM inajengwa kuvuana nguo humu JF au ndani ya chama? Nakuhakikishia Matatizo ya CDM yanatakiwa kumalizwa na vikao vya ndani vya chama na si kutunishiana misuli kwa kuvuana nguo kweye mitandao ya kijamii, haya wanapaswa wakapasuliane ndani kwa ndani,
Kumbuka hapa ni Makamu katibu mkuu, na naibu kambi ya upinzani akivurugana na wabunge wake, achilia mbali mwenyekiti wa bavicha, kitila nk
 
Kama kweli wewe ni mbunge wa kuzawadiwa wa CDM Im so sorry to tell you that your too cheap, too low.
For how long will u be used?????? Then u got to learn the meaning of being in right place to speak what concernig to internal affairs za CDM

hivi wasemwe CCM tu ila CDM wale wanafiki wasiguswe sio? Tokeni hapa wanafiki nyie!!!:sick:
 
Hivi CDM inajengwa kuvuana nguo humu JF au ndani ya chama? Nakuhakikishia Matatizo ya CDM yanatakiwa kumalizwa na vikao vya ndani vya chama na si kutunishiana misuli kwa kuvuana nguo kweye mitandao ya kijamii, haya wanapaswa wakapasuliane ndani kwa ndani,
Kumbuka hapa ni Makamu katibu mkuu, na naibu kambi ya upinzani akivurugana na wabunge wake, achilia mbali mwenyekiti wa bavicha, kitila nk

Wananchi, Wanachama na Wapenzi wa CDM wanapaswa kujua aina ya viongozi walio nao sio kwenda kama majuha tu! Mnakera sana na kupunguza moyo ya mapenzi mema kwa nchi nyie wenye kulea magonjwa aagh!
 
hivi wasemwe CCM tu ila CDM wale wanafiki wasiguswe sio? Tokeni hapa wanafiki nyie!!!:sick:

Wananchi, Wanachama na Wapenzi wa CDM wanapaswa kujua aina ya viongozi walio nao sio kwenda kama majuha tu! Mnakera sana na kupunguza moyo ya mapenzi mema kwa nchi nyie wenye kulea magonjwa aagh!
Sawa mkuu ngoja sisi wanafiki tukae kimya tuwaache vijogoo wazidi kuchafuana.
Ila nataka nikwambie kitu hapa si kujua aina ya viongozi bali hapa ni siasa za maji taka na kuchafuana ndio zinaendele, mbunge marytina kuanza kumchamba naibu katibu wake na naibu naye kumjibu aliyomjibu is that you call yourself kujua viongozi wako?
Sehemu yoyote hata rep au democr za usa haya mambo ya kutofautiana na mwenzako yapo issue ni how to handle it na sio kuchafuana huku kusiko na ushahidi wowote. au unadhani inajenga chama hii?
Kama tuhuma mbona zipo nyingi na zinashughulikiwa kichama mfano ya mbunge wa maswa shibuda, Nakama anachodai martina unaamini ni kweli basi CDM nzima ni uozo mtupu kwa kushindwa kuchukua hatua kwa kumuogopa zitto anayelindwa na Kikwete
 
Katika huku kuchafuana unakokuita ndiko tunakopata vitu vingi vilivyo nyuma ya Kiongozi wetu, hata wanasheria hutumia mtindo huu katika kesi. Anakuudhi ili upandwe hasira ukose umakini. Mwanzo hatukujua kama ZK ni mropokaji, Kiburi, Mjivuni, Mwenye dharau lakini kadri siku zinavyoenda tunamjua zaidi. Mbona Dk wa Ukweli PHD Slaa katupiwa lawama nyingi na uozo kibao lakini hatukumsikia kuwa na majibu na tabia kama za ZK, Ben na wengineo? Atleast Kitila anaumakini wa kujibu hoja sio ZK.
 
Ok nimekupata kuwa wewe ni muumini wa siasa za majitaka na hatutaweza elewana lakini elewa hawa wanabifu zao za uchaguzi viti maalumu na sasa wanaendeleza hadi kushabuliana personal.Na nikukubushe huwezi pata unachotaka kupata katika kuchafuana huku,
 
Nimekuwa nikifuatilia muda mrefu movement za hawa watu na mara zote nathubutu kuwafananisha na kundi la mtandao la EL,JK,RA n AC lililoanza kama ushirika wa kirafiki wa kisiasa(political friends) na baadaye kuzaliwa political friendship network huku target yao ikiwa ni kushika dola kwa kupokezana. Hawa jamaa wanakuja tofauti kidogo na slogan yao kubwa ni Kijana kuongoza SJMT. Ukweli ni weledi wa kusoma nyakati hasa ukitazama kwa sasa vijana wengi wa Tz wameingia kwenye siasa. Watz tuwe makini nao.

Muda huu hata wa pinzani wanawachezea ngoma ya ajabu kwa viongozi wa CCM wanao wania urais maana huko bungeni issue kubwa ni urais na sio hoja zetu ukiwaangalia sana ni kila mmoja wao anakambi yake anaaandaaa mtu wake kwa ajili ya urais 2015, mfano mzuri tu nawapa jiulizeni kwani issue ya Rada Dr. Slaaa kasema wataandamana kwanini hakupeleka ushahidi kunako husika???? Ukichunguza ndani zaidi kulikuwa na Membe na EL sasa hapo chadema wao shida yao wana mtaka mtu mnyonge toka CCM sasa na CCM wakijidanganya wakamweka EL imekula kwao na ndio maana CDM wakati mwingine wanajifanya kuwa karibu kwani wana jua fika ndani ya CCM kumeparaganyika na sio makundi m2 yaho zaidi ya m3.

Sito shangaaa kuona hiyo hali bungeni. jamani IKULU kumbe ni kutamu lakini yeyote anae tamani IKULU ile laana ya Mwl.Nyerere itamkumba tu tena vibaya sana
 
Katika huku kuchafuana unakokuita ndiko tunakopata vitu vingi vilivyo nyuma ya Kiongozi wetu, hata wanasheria hutumia mtindo huu katika kesi. Anakuudhi ili upandwe hasira ukose umakini. Mwanzo hatukujua kama ZK ni mropokaji, Kiburi, Mjivuni, Mwenye dharau lakini kadri siku zinavyoenda tunamjua zaidi. Mbona Dk wa Ukweli PHD Slaa katupiwa lawama nyingi na uozo kibao lakini hatukumsikia kuwa na majibu na tabia kama za ZK, Ben na wengineo? Atleast Kitila anaumakini wa kujibu hoja sio ZK.

Ukiambiwa ulete ushahidi au post yoyote nimejibu kama unavyotaka ionekane hapa sidhani kama utaleta.Ungekuwa na mapenzi mema na CHADEMA usinge-encourage haya nayoandikwa hapa
 
Ben mpe "sausage" hiyo Miss parliament inawezekana ni kitu kidogo anahitaji ktokona kwako . anazunguka kama treni.

kuhusu hizi picha hawa dada zangu the are Very cute. Waache wale raha nayeyote wanayemtaka. Tena inawezekana ni wasomi .

Ben katika hao Miss parliament anafanana fanana na nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom