Kaburi la wapendanao Bagamoyo

Kaburi la wapendanao Bagamoyo

Wakuu salaam

Mwezi jana nilipata fursa ya kutembelea maeneo ya kihistoria Bagamoyo, katika vitu nilivyo kutana navyo na hili kaburi la wapendanao. Tour guider wangu alinieleza kuwa kaburi hilo hutumiwa na wapendanao huweka nadhiri hapo na kupeana ahadi kwamba usipo timiza kile ulicho ahidi kuna madhara yanaweza kupata.
Mfano ukiahidi kuwa mwaminifu ktk mahusiano yenu basi siku ukimsaliti unaweza kudhurika. Binafsi pamoja na kushawishiwa na mwongozaji wangu huyo nilikua mgumu sana kuamini hilo. Kama kuna mtu ambaye alishafanya zoezi hilo aweza tupa mrejesho vipi kuna ukweli ndani yake?
Mapepo hayo
 
Kuna daraja Ufaransa watu walikuwa wanakwenda na makufuli, mnaweka nadhiri, mnafunga kufuli na funguo mnazitupa chini kwenye maji. Ilibidi wapige marufuku, uzito wa makufuli uliendea kuhatarisha daraja kuangauka.
Haaha niliwahi kuweka kofuli pale na mtu .... .[emoji126] [emoji126] [emoji2]
 
Ukitaka kuweka nadhiri;
tafuta sindano ya hospital;
toboa damu yako na ya huyo umpendaye
kila mmoja anyonye ya mwenzie, huku mnasema maneno yenu
baada ya hapo kinachofuata mtajuwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom