ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,900
- 48,766
Bora tungezaliwa zamani basizamani ni bora kuliko sasa
Ila Ephen 😅Hata kitandani walienjoy mtu ufungi ndoa mpaka uwe umehitimu jando na unyago,
Kulikua hakuna uke mkavu wala tatizo la kukosa nguvu za kiume.
Hivi wote aliwapenda kweli?But Suleiman mwenyewe alikuwa na wake 700 na masuria 300, na iliwezekana yeye kuwa na wanawake wengi kiasi hicho kwa sababau ya utajiri alio kuwa nao.
Baada ya kutoroka bagamoyo umeanza jeuri 😅Iiangalie. ... Isuse
Wanawake wa zamani wapewe maua yao mama zetu bibi zetu🌹🌹Kila zama na kurasa zake, zamani hadi upewe papa ni ilikuwa kazi kuliko, yaani hadi uivue chupi ni kama umehitimu shahada ya kwanza.
Heh acha basi😅Leo aaah, mtu anakuja hana chupi, the very first day! Noma sana.
Pesa, Mchele,makoto nk....Pesa ni sabuni ya roho mzee.
Kumbe mambo ni yale yale duhZamani na sasa mambo ni yale yale tu hamna jipya, suleiman alikua na mali nyingi alikula kila aina ya utelezi, queen of sheba hakuliwa na mkimbiza boda, Daudi alimnyandua mke wa General wake kwa sababu alikua na cheo na mali. Tangu zamani pesa, cheo, muonekano, umaarafu vilikua privileged sema kizazi cha sasa kinazingatia sana.
Inawezekana mapenzi hayajaharibika… labda ni sisi tumeanza kuyapima kwa mizani isiyo sahihi💕Wakati mwingine najiuliza, mapenzi ya zamani yalikuwa na ladha tofauti au sisi ndiyo tumeharibu maana yake?
Angalia Suleiman na wimbo wake
Busu zake zinibusu...(Wimbo Ulio Bora 1:2)
Nimekupata yeye ambaye nafsi yangu yampenda (Wimbo Ulio Bora 3:4)
Mimi ni wa mpenzi wangu, na mpenzi wangu ni wangu (Wimbo Ulio Bora 6:3)
Ukisoma haya maneno unaona wazi kabisa, mapenzi yalikuwa ni hisia, si mashindano ya nani ana nini
Ila saivi ukileta maneno haya unakua kama unachekesha😅
Unaambiwa usilete maua leta sasampa lol 😆
Lakini leo kabla hata ya kuuliza mtu ana tabia gani, kwanza tunaangalia ana nini. Kabla ya kujua moyo wake ukoje, tunaangalia maisha yake yakoje
Mwanaume before huja m approach mwanamke anaangalia
Mbali na jigijigi nini kingine atapata kwake
Na kwa mwanamke ukitongozwa unaangalia kwanza utanufaika nini kwa huyo Mwanaume
Kuna msemo una sema bora kulia ukiwa kwenye dinga kuliko kulia huku unapuliza moto tena kuni mbichi😅😅 mafua tafrani
Lakini inaonekana zamani watu walipendana kwanza kisha mengine yakafata yenyewe
Hivi ni kweli 👇
Upendo una nguvu kama mauti... maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo.(Wimbo Ulio Bora 8:6-7)
Pesa ni muhimu, hilo halipingiki, lakini zinapochukua nafasi ya hisia, upendo unapoteza ile ladha yake ya kweli
Inawezekana mapenzi hayajaharibika… labda ni sisi tumeanza kuyapima kwa mizani isiyo sahihi
Usiku mwema guys
ShesRise_1 🤚
Hapana, nadhani aliyekuwa akipendwa zaidi anaweza kuwa labda Sulamitha ambaye alikuwa tofauti na wengine wote.Hivi wote aliwapenda kweli?
Inasemekana jamaa alikuwa na nguvu za ajabu pia, lakini bado binafsi sikubaliani na suala la kuwaridhisha wanawake wote hao, Impossible!Vipi kuhusu nguvu za kiume maana 1000🙌🙌
Yes YesNi kweli kwamba upendo wa dhati ndio msingi mkuu wa uhusiano imara, ukitoa msamaha, uvumilivu, na furaha ya kweli ambayo fedha haiwezi kuinunua.
Ndio kusema mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua okay 👍Hata hivyo, pesa hutumika kama kichocheo kinachorahisisha maisha na kuondoa changamoto nyingi zinazoweza kuleta migogoro katika uhusiano.