Kabla ya ndoa ujifunze lipi

...natamani kuuliza kwanini maandiko yanambana zaidi binti 'aachane na wa kwao,' 'amsujudie mume,' na yada yada nyinginezo, bila kumkufuru Mwenyezi Mungu.

Mkuu Mbu wakati nasoma maandiko kwenye Biblia nilipokutana na neno "Umsujudie" nikawa najiuliza kwanini hawakusema "Umuheshimu"

Mi nawazaga tu haya maandiko nani aliyaandika/vumbua/pokea toka kwa MUNGU, je alikuwa Me au Ke?
 
moskwito, plz rudisha avatar zinazokuhusu, unahatarisha usalama!

TF, thanks for a nice reminder, ukizingatia haya utakuwa mume mwema sana! Mungu akubariki

...ndio maana mwanzo niliandika nisijekufuru!...Ona sasa?
Maandiko hutoa mifano ya wanyama, i.e punda, kondoo,...nk...
Ahh, ngoja nibakie msomaji kwanza, ...lol!

Mi nawazaga tu haya maandiko nani aliyaandika/vumbua/pokea toka kwa MUNGU, je alikuwa Me au Ke?

MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume
yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...
yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...
 
Hahahaha!! Lol!!!
 
MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...
Partner ndio maana mpaka leo bado tunaitwa “VIBURUDISHO“ na baadhi ya hawa kaka zetu.
 
moskwito, plz rudisha avatar zinazokuhusu, unahatarisha usalama!

TF, thanks for a nice reminder, ukizingatia haya utakuwa mume mwema sana! Mungu akubariki

lol,...Avatar hii ni picha yangu jamani, hamuamini ee?...haya basi nitamrudisha mdudu...

MJ1 kipindi hicho thamani ya mwanmke ilikua kwa ajili ya uwepo wa mwanaume
yaani yeye hata naona alikua haruhusiwi hata kushika maandiko alikua anasomewa tu...
yaani wanawake kweli tumetoka mbali aiseee...

AshaDii,...mmetoka mbali na huko mnakoelekea kama siko?!
Baadhi ya maandiko yanasema "mwanamke atapoanza kuchukua utawala wa dunia," ndio dalili za kiama!
Yaani tafsiri ya nyie dada/wake/mama zetu kwenye hivi vitabu vya dini mwaonekana waharibifu tuuu,...mnh....

Ahh, huyu The Finest sijui ndio nini kuleta maudhui haya
najihisi namkufuru Muumba tu...
 
lol,...Avatar hii ni picha yangu jamani, hamuamini ee?...haya basi nitamrudisha mdudu...

AshaDii,...mmetoka mbali na huko mnakoelekea kama siko?!
Baadhi ya maandiko yanasema "mwanamke atapoanza kuchukua utawala wa dunia," ndio dalili za kiama!
Yaani tafsiri ya nyie dada/wake/mama zetu kwenye hivi vitabu vya dini mwaonekana waharibifu tuuu,...mnh....

Ahh, huyu The Finest sijui ndio nini kuleta maudhui haya
najihisi namkufuru Muumba tu...
Mbu hapa simo ngoja dada zangu MwanajamiiOne, Lizzy na Ashadii warudi hapa lolz
 
Hhahaha...utakyfa huku ukisubiria.Ila ukikubali kunisujudia mimi hata saa kumi na mbili leo haifiki.

LOL...ngoja niipotezee maana. Hii 'thread' ikiendelea kubakia hapa leo natupiwa virago nje...
 
TF - naona umeamua kuachana na yale mambo yetu rasmi!

Dah! - mwacheni Mungu aitwe Mungu!
BE wadada wanasema vitabu vya dini vinam-favour sana mwanamume kuliko mwanamke kwa kuwa yeye ndio aliyeviandika
 
Jamani mie nafikiri kinachomata hapo ni upendo.........kama nakosea tafadhalini nirudisheni kwenye msitari!
Lakini niaminivyo mie, hakuna utumwa mzuri kama utumwa wa mapenzi na hasa ukimpata bwana ajuaye kumtreat mtumwa wake!!
Penye pendo mioyo huimarika, penye pendo
 
Well said Mjukuu
 
Mbu hapa simo ngoja dada zangu MwanajamiiOne, Lizzy na Ashadii warudi hapa lolz

hhha hha ha...umeona ee? nimesema hii sredi itani cost wallah...hivi The Finest lengo, nia na madhumuni ya kuanzisha sredi hii ilikuwa kunijua upande wa pili wa shilingi ee/ haya bana, umefanikiwa...

...pupwe lina msisimo kwa kondoo mwenye manyoya haba. Dada/mamsapu wetu huchagua yale maandiko yenye faida na wao tu, mfano...Mume atakuwa kichwa cha nyumba, mwenye jukumu la ulezi, kutunza familia blah blah...

Zile kurasa zenye vifungu ulivyoviainisha leo husomwa upside down,
paris+hilton+read+book+upside+down.jpg
he he he...!

Jamani mie nafikiri kinachomata hapo ni upendo.........kama nakosea tafadhalini nirudisheni kwenye msitari!Lakini niaminivyo mie, hakuna utumwa mzuri kama utumwa wa mapenzi na hasa ukimpata bwana ajuaye kumtreat mtumwa wake!! Penye pendo mioyo huimarika, penye pendo
MJ sasa huo upendo kwenye dunia ya leo unapatikana kwa asilimia ngaipi?!Na ni nani anaepaswa kumpenda mwenzake kwa maoni yako?! Maana kitabu kinasema mume apende na mke aheshimu + kusujudia.Kwahiyo mume ampende mke ili apate kuheshimiwa na kusujudiwa alafu mke nae asujudu na kuheshimu ili apendwe.Nashangaa kwa nini aliyeandika hakuandika mpendane na mheshimiane.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom