Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,319
- 65,193
Nakusubiri hata miaka 100,ukizeeka tutatumia vilainishi.Subiri niache au niache sawa
Nakusubiri hata miaka 100,ukizeeka tutatumia vilainishi.Subiri niache au niache sawa
Hapo umehitimisha lengo lako la uzi huu.......Kama kawaida ukila samaki sharti umgeuze upande mwingine ummalizie
Mmmmmh wacha weeee [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kama kawaida ukila samaki sharti umgeuze upande mwingine ummalizie
Oohoo shauri zako wewe sema hivyo waja watakunukuu tofautiHadi pua kainyonya kila kitu kala G mbaya nyie
Agriii mbona unawivu wewe jaman,muache mwenzio hukoSawa Mkuu endelea kuota ukiamka utauchukia usingizi
Tugawane hizo za kila mwisho wa wiki aisee[emoji39][emoji39]Wala sijawah kumpiga kibomu ,ni yule mwanaume ambae anakupa mwenyewe bila kumuomba so ni jukumu lake
We huwa unampa pesa za wekeend mpenzi wako?basi mi hupewa kila ijumaa ikifika salio linasoma
Siyo kuwa yule nilimkomesha noo ila angalau yeye aliweza kuhimiri mkurungu wangu mana siyo wa kawaida hadi huwa najiogopa.. Acha kusema kwa wengine hakuna sema kwa uliokutana nao hukupewaMi hanikomeshi ananipa raha za dunia ambazo kwa wengine hakuna
Kwanin ikuchanganye sweet nambieYani wewe hii avatar yako mi inanchanganya
Mh!!! Umeshindwa kusema tu unataka huyo G akupige Paipu ili na wewe upewe hayo anayopewa mwenzio eti unataka wadogo zake... Na wewe Uachage kumsifia bwana ako wenzio watakupora sasa hivi uanze kutumbua humu kutafuta ushauriTafuta wadogo zake,unichagulie mmoja nijiweke shoga
Unacheka nini Ice mpaka nimeon aibuKhaaaa!
Hahahaaa
Pesa za mme wangu nikupe na wewe khaTugawane hizo za kila mwisho wa wiki aisee[emoji39][emoji39]