kAbIlA leTu liLe LiNaLoPeNdA pEsA kUlIkO wALi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kAbIlA leTu liLe LiNaLoPeNdA pEsA kUlIkO wALi!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by bampami, Jun 6, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,849
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Mzee mmoja wa lile kabila
  linalopenda pesa kuliko wali,
  alipata ajali mbaya akiwa
  hajitambui akapelekwa
  hospitali, hatimae Mungu
  akamsaidia akatoka kwenye 'coma'. Akaangalia akaangalia
  akamwona mwanae wa
  kwanza;
  MZEE: Ambrosi
  AMBROSI: Nipo baba
  MZEE: Hendri HENDRI: Nipo baba
  MZEE: Lilian,
  LILIAN: Nipo baba
  MZEE: Mama yenu yuko wapi?
  MAMA: Nipo baba
  MZEE: Mungu wangu wote mmesubaa hapaa,.
  Kule dukani yuko
  nani?
   
 2. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...40%

  Near by Mwanjelwa Mbeya.
   
 3. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,207
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  hahah!!dah mzee pesa kwanza!!
   
 4. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 773
  Trophy Points: 280
  huyo mzee nae.duka si kaachiwa kufuli ah
   
 5. J

  JULIUS MBIAJI Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wale huwa wametumwa besaaa.Hawana masihara.
   
Loading...