Habari zenu, ndugu zangu..napenda kuuliza au kujua kwanini hili kabila la wenzetu wanapenda kuzungumza kinyakyusa sana hata kwenye mikusanyiko ya watu kwa nini wasipende kuzoea kuzungumza KISWAHILI..kwa kweli wananichukiza sana kwa hilo!
Kesho tutaongea kuhusu wahindi wa kutumia lugha za kihindi, wawapo katika mazingira ya kazi.
Watoto wa wanyakyusa waliohamia Zambia baadhi huwa wanaweza kuzungumza kinyakyusa na sio Kiswahili. Nadhani ni watu kupenda asili zao.