Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

Wakurya Bwana!!Sasa umkute anasema Tumefiwa,atasema Tumefir..wa
Kuna mkurya baada ya kunusurika kwenye ajali ya basi akawa anawasimulia rafiki zake "Mora ire ajari ilinivanya nikawabhikiri bhatoto bhangu , nikambhiri na mama yao".
 
Tanga yote except Wasambaa.
 
Wasukuma wana lafudhi nzuri sana na tone nzuri. Tone ya matumaini!
Hawa ndiyo nadhani mojawapo ya makabila yanayochangia kuharibu kiswahili mf maneno ya siku hizi: Mimi sipendi masihara-Mimi SIPENDAGI masihara.
Mimi nachoka kusikia tabia hizi-Mimi NACHOKAGA kusikia tabia hizi.
Nadhani tuwaachie watu wa Pwani,nadhani hata watoto wetu tuliozalia Pwani wanazungumza kiswahili chenye lafudhi nzuri kuliko sisi wa bara!
 
wachagga
 
Kabila la walafuzi ndo Wana lafudhi nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…