JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza

JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza

wewe kweli mwendawazimu,lutambi alipopondea degree ya kiswahili kwamba ni ya kijinga wewe ukatetea kwamba kiswahili kinalipa,swali wewe una akili? Alaf unavijua vipaumbele vya jeshi kwenye ajira?

Wewe bwana ni MGOMVI
 
Lakini ni kwanini wasomi wengi wanawaza mishahara na malupulupu makubwa kuliko kuwaza namna ya kuwakomboa Watanzania maskini ?Maana kila mwenye kishahada chake anafikilia kazi yenye malipo manono kwa kazi isiyotoa jasho!

Kwa nini msiwaze kwenda vivijini kuelimisha watu namna ya kilimo bora,kufundisha shule zisizo na walimu,kuelimisha watu mambo ya afya,kuunda vyama vya akiba na mikopo,kuelimisha na kuonyesha namna ya utawala bora ngazi ya vijiji,mitaa na kata?

Mimi nasema siku za wenye tamaa ya madaraka, utajiri wa haraka na wasiopenda kutumia elimu zao kwa manufaa ya umma ziko ukingoni.

Onesha mfano wewe kwa kwenda huko.
Tuna rasilimali ngapi km.madini,mbuga za wanyama,maziwa na mito n.k na Serikali inazidi kuchochea watu wabaki vijijini kwenye kilimo duni,pembejeo duni na mazao duni.

Amka wewe hizo fikra ni za mwaka 47 kurudi nyuma-leo kila mtu anatamani kuzitua shida zake na si kupata ushujaa wa kijinga
 
jeshini pazuri kama utaweza kuvumilia mazoezi, friends zangu wawili nimemaliza nao chuo 2009, walienda jeshini mmoja wa kike mwingine wa kiume na walimaliza hayo mafunzo now wana maisha mazuri tu , wanalipwa vizuri wamepita wengi ambao tulimaliza same year lakini wako ktk kazi hizi za uraiani, wanalipwa nyumba laki nne, hela ya maji hapo bado mshahara. i advice u go for it kama huumwi!
 
Oya,pay lao huwa linaanzia shiling ngap,maana me siogopi kulogwa.

we uanwajua walozi unawasikia!!??

wizard.jpg
 
mimi niko huku vijini.ww baki huko ukilalamika
 
Kupata nafas ndo ishu kama huna ndugu mjeshi ndo hivyo na lako halipo
 
Utapata faida yakulinda mpaka kati ya tz na malawi hatimaye waweza mkiss j. Banda
 
Siku hizi hakuna hiyo kusubiri kama kawa. zikitangazwa nafasi za maafisa unaomba ukipata ndo unaenda
Ukimaliza mafunzo ya awali ya Kuruta miezi 9 unaenda moja kwa moja Monduli kusomea Uofisa wa jeshi ukimaliza unalamba mawe matatu yaani unakua Captain
 
Mimi[/QUOTE]
mimi niko huku vijini.ww baki huko ukilalamika
Nimekuelewa sana tatizo hatukuenda shule kuelimika but kutafuta vyeti vya kuombea kazi na hili ndo tatizo
 
Utaratibu wa jeshi upo hiviii mwenye degree anapewa nyota mbili(luteni) haijalishi ni degree ya nini hata kama ni ya philosophy ,posho 300,000/-,alafu kama una degree nayo inalipwa 250,000/-,mshahara basic salary 900,000/- ,
Vipi mkuu kuhusu mwenye degree aliyeko jeshi la magereza
 
Degree ni degree iwe baed,engineering, kinachozingatiwa ni kwamba una degree kama unayo unapata nyotambili,anayesema sijui unapewa v mbili hana akili manake kama ni v mbili manake ni koplo haiwezekani mtu mwenye degree apewe ukoplo wakati tuu formsix wakiingia jeshini wanaanza na nyotamoja(luteni usu) huyu cprograming hajuikitu mpuuzeni
Vipi mkuu mwenye degree aliyeko jeshi la magereza
 
Du umempeleka mbali sana, ukienda jeshini ukiwa umetokea chuo namaanisha ukiwa na bachelor unapiga kwata miezi 6 pale JWTZ eneo la Mtongani Dar na miezi mingine 6 Monduli.Ukitoka hapo unaondoka na nyota mbili tu ambazo hapo utaitwa Luten Roryakwetu.Mshahara wake take home sio chini ya laki 8 lakini pia kuna marupurupu mfano kula na kulala ni bure plus mambo ya afya ni juu ya jeshi.Sasa sijajua kuhusiana na overtime maana kazi yenyewe imakaa kiovertime.

Ukiwa una mastars hapo mambo ni shwari unapiga kwata kama hao hao wa bachelor lakini wewe kule Monduli siku ya kuhitimu unapigwa mawe matatu yaani unakuwa Captain, mshahara wake siuji lakini Captain sio cheo kidogo ndugu yangu maana wewe unaweza kuongoza combania bila wasi wasi
Vipi mkuu mwenye degree aliyeko jeshi la magereza
 
Degree, utaanza na nyota mbili (luten ) ila baada ya kupitia mafunzo ya officer kadeti, ambayo kwa mtu mwenye degreehua miezi sita, ila kabla ujaenda katika kozi hiyo utapitia kozi ya pamoja ambayo ni miezi 6 jumla ina kua mwaka, maslai ni mazuri na ukitanguliza uzalendo itakua nzuri...
Vipi mkuu mwenye degree aliyeko jeshi la magereza
 
Maslahi yapo wakuu, tena ni mazuri sana, inshu ni kuvumilia miezi sita ya kwanza na 6 mingine kwa wenye profession. Jeshi la zamani ni tofauti sana na lasasa. Miaka ya nyuma mm nakumbuka ndugu walikua wakiambiwa waende jeshini wanakataa kabisa sababu maslahi yalikua hamna kivile hasa kwa askari wa chini. Lakini sasa hivi kunabenefits nying ambazo askari jeshi anazipata kuanzia yule ambaye hana profession hadi mwenye profession hizi tena huingizwa kwa wakati tofauti na majeshi mengine nchini. Na kuna allowance ya umeme na maji nadhani nayo walikua wanaijadili iwepo. But nitauliza vizuri ilifikia wapi. Nampa like huyo aliyesema mshahara si chini ya 800,000 + other benefits.
Vipi mkuu mwenye degree aliyeko jeshi la magereza
 
Du umempeleka mbali sana, ukienda jeshini ukiwa umetokea chuo namaanisha ukiwa na bachelor unapiga kwata miezi 6 pale JWTZ eneo la Mtongani Dar na miezi mingine 6 Monduli.Ukitoka hapo unaondoka na nyota mbili tu ambazo hapo utaitwa Luten Roryakwetu.Mshahara wake take home sio chini ya laki 8 lakini pia kuna marupurupu mfano kula na kulala ni bure plus mambo ya afya ni juu ya jeshi.Sasa sijajua kuhusiana na overtime maana kazi yenyewe imakaa kiovertime.

Ukiwa una mastars hapo mambo ni shwari unapiga kwata kama hao hao wa bachelor lakini wewe kule Monduli siku ya kuhitimu unapigwa mawe matatu yaani unakuwa Captain, mshahara wake siuji lakini Captain sio cheo kidogo ndugu yangu maana wewe unaweza kuongoza combania bila wasi wasi
Ok
 
Back
Top Bottom