JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

Uko sahihi mkuu Op makao walifanyishwa usaili gelesha mwaka Jana lakini dk za mwisho watu waliondoka kwa meseji hakuna mtoto wa masikini aliyepata na mwaka huu wamerudia vile vile kwa Op Samia ki ufupi hizi saili hua ni zuga tu wakubwa Wana majina yao tayari ila Mimi nawashauri vijana waombe tu huezi jua pengine ya Jana yanaeza yasiwe ya leo
Kika kazi zikitangazwa. Hua kuna kua na majina kama 40% yameshapangwa. The rest ndo ya walala hoi..

Kwahyo watu waombe tu huenda ukaambulia

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa wale vijana waliorudi mtaani warudishwe na kutafutiwa ajira sehemu mbalimbali, hali ni ngumu sana na vijana wamesugua mno JKT na mtaani pia. Kigezo cha umri kisogezwe mbele kidogo wachukue hata walau wa miaka 30 sio mbaya sana Kwa intake hii.
 
TISS nao wana recruit vip.. Mabogi yanakatwaje huko.
Wanapitaga hukohuko kwenye mausahili ya PT,UT na Uhamiaji Na Jw kama walivowafanyia walio jenga ukuta wa melerani wote waliahidiwa kwenda jw na Magu ,na akawarudisha nyumbani TISS waliwachukua wote ,sisi tukiwa tunajenga ikulu wao ndio tumewakuta ndo walinzi wanatusimulia yaliyowakuta na kutuambia tusikate tamaa hata tukirudi nyumbani
 
Kwa jinsi hiyo ya recruitment unavyoona hili TAIFA litakuw na watu wanaojielewa huko ktk IDARA?.

PT wanachukua felia
Jw wanachukua felia
UT Ndio kabisa felia

TISS inatakiw waende watu vichwa sio waliojikatia tamaa kambini na kuzoa zoa tu watu.

Hii nchi aliyeturoga atusamehe.
 
Wanapitaga hukohuko kwenye mausahili ya PT,UT na Uhamiaji Na Jw kama walivowafanyia walio jenga ukuta wa melerani wote waliahidiwa kwenda jw na Magu ,na akawarudisha nyumbani TISS waliwachukua wote ,sisi tukiwa tunajenga ikulu wao ndio tumewakuta ndo walinzi wanatusimulia yaliyowakuta na kutuambia tusikate tamaa hata tukirudi nyumbani
mkuu ulikua ujenzi? uliramba msata wew?
 
Wanapitaga hukohuko kwenye mausahili ya PT,UT na Uhamiaji Na Jw kama walivowafanyia walio jenga ukuta wa melerani wote waliahidiwa kwenda jw na Magu ,na akawarudisha nyumbani TISS waliwachukua wote ,sisi tukiwa tunajenga ikulu wao ndio tumewakuta ndo walinzi wanatusimulia yaliyowakuta na kutuambia tusikate tamaa hata tukirudi nyumbani
Kwa ule mchaka mchaka wa Ikulu.
Pole na hongera kamanda.... Sio kwa ule mwendo, mlisagika.
 
Back
Top Bottom