JWTZ na Polisi mna ugomvi gani usioisha!

Hata hivi Yule mwanajeshi alikula kichapo
Baadaye walienda kukusanyana walikua kama 10 hivi walianza kupiga mtu yoyote wakikuta mtoto sijui Mzee wamama ni kichapo tu.

Kiujumla wanajeshi wenye nidhamu ni wachache sana.
Kama nyinyi mlimpiga kwanini na nyinyi msipigwe??kwa hiyo mkichukua,sheria mkononi ikirudi kwenu inakuwa tatzo
 
Sisi tungesipo muacha mtu wanafanya uharifu huku tunamuangalia kwasababu Sheria inasema kila mtu inabidi awe mlinzi wa mwenzake.
Kwahiyo mwanajeshi akileta ujinga ktk mazingira yangu kama ninauwezo wa kumdhiti nitamudabisha tu.
Sio kila mwanajeshi anauwezo wa kupambana kwa ngumi kuna wengine huwa wanakuwa majeuri tu Na kuchanganyikiwa kwa bangi.
 
Basi msiwe mnachonga midomo kipind mnapochakazwa makalio
 
Unajua nyinyi wanajeshi hamueleweki mara mseme ukiona mtu wanafanya uharifu sio mwanajeshi kwasababu mwanajeshi huwa anafundishwa nidhamu.

lakini mm sina wasiwasi Na kauli yako kwasababu najua nyinyi wanajeshi mnaakili mbovu Ila mm nawashauri
wanajeshi mkiachana na huo uanajeshi wenu tueshimiane tu Na msidhani uanajeshi ndio kila kitu kwenye maisha.

Na kuwa mkakamavu sio lazima uwe mwanajeshi Ila.
 
Tabia za jeshi ni pamoja na nidhamu,ukakamavu n.k. tabia binafsi za mtu ni pamoja na ugomvi,jeuri,wizi n.k.ambazo hata muuza bar anaweza kuwa,na tabia hizo askari akifanya hivo ni tabia zake sio za jeshi
 
uko sahihi mkuu
 
Unajua nyinyi wanajeshi hamueleweki mara mseme ukiona mtu wanafanya uharifu sio mwanajeshi kwasababu mwanajeshi huwa anafundishwa nidhamu.

lakini mm sina wasiwasi Na kauli yako kwasababu najua nyinyi wanajeshi mnaakili mbovu Ila mm nawashauri
wanajeshi mkiachana na huo uanajeshi wenu tueshimiane tu Na msidhani uanajeshi ndio kila kitu kwenye maisha.

Na kuwa mkakamavu sio lazima uwe mwanajeshi Ila.

mbona wanasema wanajitambua maana wameanza siku hizi kutotembea na gwanda zao muda wote hata kama wako off
 
ila kwa nin ugomvi wao lazma uwe wa wanajeshi wengi lakini mmoja mmoja huwa haiwezekani..wanakujaga kama kumi hivi
Nikuulize swali hivi wale raia wagomvi wanakuwaga peke yao??mfano ugomvi katika mpira,disco kwa kifupi hilo ni somo la,ushirikiano ila,huo ushirikiano unatumika vibaya
 
wali wanakuwapo kwa wakati mmoja laiki wajeda hukimbilia barracks kukusanya wenzao..huo ni uoga
 
Polisi depo yake darasani kujifunza sheria, achana na habari ya mjeshi...ila kikubwa police wana penda usawa wana taka heshima kutoka kwa wana jeshi kitu amabao mjeshi hawezi kukitoa kwa police na pia hii inachangiwa na walivyo jengwa toka mafunzoni kua police ni kazi ya wanawake hata mbwa nae alitoroka jeshi akakimbilia police....
 
Kuna nyimbo moja hivi ukiwa sehemu flani lazima uzikute...mbaka mbak, mbaka hawavai polisi mbaka hawavai magereza mbaka, hawavai kuruti mbaka(wachafu) mbaka mbaka,.mbaka wana vaa masoja mbaka, waki vaa na peki, mbaka wakivaa na buti mbaka akipewa na silaha mbaka kazi yao nikuuwa mbaka...kazi ya mbaka mbaka ni kuuwa sio kutishia
 
Back
Top Bottom