conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,119
- 767
afahamu kulima si adhabu! kwa kozi yake ya miaka mitatu anafikir atakroli akiwa amebebwa?au anatumia gar hata kwenye vinjia vya miguu msituni?by the way unaweza ukawa una shahada ambayo hata mtaani si hot cake unadhan jeshini ndo hot cake