conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,116
- 762
kaka jeshini kuanzia asiyemaliza msingi mpaka profesa wote wana umuhimu.pia ufahamu kuna shahada jeshini zachukua hata miaka kumi,iyo mitatu si astashahada au stashahada flani jeshini(si vema kuitaja hapa) au kulikua na kozi DIT YA FTC(sijui iyo ngazi bado ipo)na yuko vema kuliko shahada