JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Pana wajinga wanatamani kuajiriwa Jeshini kwa ajili ya kutesa watu na ndio Taifa lilipofikia huko hizi mambo sijui ya usipige picha hapa au mambo ya nguo ni mambo ya kizamani sana...unakuta wanawatesa Raia waliopiga picha eneo lao wakati kila kitu kipo kwenye Satellite ni ujinga sana...
 
Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
Mi nakuunga mkono, sikupingi
 
Hapo huwa nawashangaa Sana hata viongozi WA Jeshini, ina maana kwamba hata hawajaona Hilo sio la msingi na kina Mambo meeengi ya msingi kuzingatiwa kuonyesha weledi wao not in this petty issue kama vimavamazi vifananavyo na sare zao.

Kuna muda inabidi matamko yanapotolewa na viongozi wajuu wajitafakari mara mbali, ukizingatia mpka umekuwa it means up na akili iliyojitosheleza on every aspects .
Only in 255
Hili kundi wengi ni Iron Boy,unakuta hata mtoa tamko ni Iron boy.Unategemea nn?Yaani wanashindwa kudeal na mambo ya msingi wanaangaika na sare eti zimefanana na jeshi.
 
Hili kundi wengi ni Iron Boy,unakuta hata mtoa tamko ni Iron boy.Unategemea nn?Yaani wanashindwa kudeal na mambo ya msingi wanaangaika na sare eti zimefanana na jeshi.
Hujui jeshi wewe...hujawahi kulijua
 
Na yeye kila siku wanakataza alivaa ya nini kujitafutia shida tu, mtu hata mgambo sizani kama alienda waachie wenyewe wayavae.

Avae hata ya polisi au magereza tu
 
Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
Hiyo sababu haihalalishi huu ukatili wa kutesa mwananchi eti kisa wewe ni mwanajeshi, kama kweli wanataka hizo battle wakwende somalia huko wakakutane na maharamia waliopinda akili wapelekeane moto.
 
Hivi huyo akifanya kosa halafu raia wakamuona na asikamatwe si watasema ni mwanajeshi? Nakumbuka hata tukiwa tulikuwa hatukatizi kwenye makambi yao labda kama umevaa nguo za shule lakini si vinginevyo
 
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika hapa nchini...
Sifa za kijinga tu na siungi mkono hili

Ila kwa upande mwingine tujiulize:

Ni kwanini Raia avae nguo za jeshi? Anachotafuta ni nini iihali kuna nguo za kiraia kila kona?

Tangazo lilitolewa na muda walipewa, kwanini wakaendelea kuvaa?
 
Back
Top Bottom