Jiwe ama Nani? Kuna picha jwtz wakiabiri ATCL ama hujaona??Kuna kichaa humu ndani alishaa JWTZ kusafirishwa na Air Tanzania, hii post yako ninahisi utamfaa huyo mwendawazimu, unamkumbuka?
Hii ya Chopper ni ya JWTZ na Kama hamuamini, uliza joto la jiwe 😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] Hana sayHii ya Chopper ni ya JWTZ na Kama hamuamini, uliza joto la jiwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha, hizi niWe never disappointView attachment 1108291
Hehehe wivu, ebu post picha hata moja ya jet ya Tz tuone [emoji23][emoji23]Hahahahaha, hizi ni
1)F- 5, made in USA
2) They are second generation, current planes ate fifth generation
3) They were manufactured in 1950s
4)The have maximum speed of 1700km/hr
5)Maximum range 2000Km
6)They can't detect incoming missiles, that's why one was shot down by Alshabab using RPG
7)The can't be fixed with lesser guided missiles
8) Maximum altitude is 5000m
9)Kenya has only 5 in number
10) Most armies around the world have replaced them with the most modern aircrafts, except Kenya
These aircraft can not match by any meas with new and modern J-7 which are
1)Third generation
2)Manufactured in 2013
3)Maximum speed 2200Km/hr
4)Maximum range 2500Km
5)Can detect income missile and destroy it
6) Have hot spot for lesser guided missiles, hence can't miss a target
7)Maximum altitude 12000 M
8)Tanzania has 14 of them.
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
Huyo kichaa aliyeshangaa JWTZ kusafirishwa kwa dream liner, lakini a kushindwa kushangaa KDF wakiridishwa NYUMBANI kwa ndege mbovu baada ya kufukuzwa kutoka South Sudan na UN kwa kushindwa kutimiza majukumu yake ya kulinda RAIA, huyu jamaa unamkumbuka?Jiwe ama Nani? Kuna picha jwtz wakiabiri ATCL ama hujaona??
Show us your jets [emoji23][emoji23]Huyo kichaa aliyeshangaa JWTZ kusafirishwa kwa dream liner, lakini a kushindwa kushangaa KDF wakiridishwa NYUMBANI kwa ndege mbovu baada ya kufukuzwa kutoka South Sudan na UN kwa kushindwa kutimiza majukumu yake ya kulinda RAIA, huyu jamaa unamkumbuka?
Hehehe wivu, ebu post picha hata moja ya jet ya Tz tuone [emoji23][emoji23]
Hapa utapata nafasi ya kuziona J-7 zikiwa katika mazoezi, pia utapata kuona uwezo mkubwa wa JWTZ baharini, utajionea meli kubwa mpya za kisasa zenye uwezo wa kubeba vifaru na helicopters na kuvishisha baharini, vifaru hivi vina uwezo wa kuanza kushambulia vikiwa vinaelea baharini huku vinaelekea ufukweni. Linganisha na KDF walioninua meli moja chakavu toka Spain ambayo haina uwezo wa kubeba hata gari moja. Hahahahaha, Hahahahaha.
Hahahahaha, all those weapons are not older than 7 years, we bought them in 2014. We grounded our Mig 21, which are second generation like F-5, we replaced them with J-7 which are third generation.World war I gadgets [emoji23][emoji23]
Poor army from poor country[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha, all those weapons are not older than 7 years, we bought them in 2014. We grounded our Mig 21, which are second generation like F-5, we replaced them with J-7 which are third generation.
Umeona nguvu za JWTZ baharini na An gani?, ndio sababu nikakuambia Kenya tunaweza kuikamata ndani ya masaa 36 kama tutashambulia kutoka Angani, baharini na nchi kavu. Sio mchezo JWTZ.
Hahahahaha, Hahahahaha. Kwahiyo ukisikia watanzania wanadifia jeshi lao, sio bure, kuna investments kubwa sana imefanyika.Poor army from poor country[emoji23][emoji23][emoji23]