JWTZ, KDF: Wanawake kazini

JWTZ, KDF: Wanawake kazini

di
Vulcan ameweka text ya mwaka 2005, saa hivi kila nchi imesha modernize jeshi lake, Tanzania tulimodernize jeshi letu mwaka 2014, Kenya bado mnatumia vifaa vya kizamani sana. Sema ukweli hizi helicopters zilitengenezwa mwaka gani kama sio 60s?
meanwhile did you know these rifles can pay salaries of more than 10 JWTZ personnel
arton3043.jpg
7522200_71_jpegcde57d9958701fc6df08a7f86e318cfd.jpeg
212227_47adbe8b105ea73e7626537126bba93b.jpg
 
Onyesha vifaa mlivyonavyo acha kutuletea makubaliano, mbona mlikubaliana na China kwamba mtajengewa reli hadi Kisumu. Mbona mliweka mikataba ya kujenga Green field terminal, je viko wapi?
Naona umerudi China sasa 😂😂 hio fungua tutachangia
 
Acha kabisa jeshi la tanzania....
Nimeona hapo kuna dada leutenant eti anasema yeye ndio first fighter pilot ha ha ha ha wakati huku wabongo tunao kibao wadada wanaolusha ndege za kijeshi
 
Nashangaa. Mimi nimesema wanawake. Wakenya wanaleta hata wanaume.
Wanaleta police.

The topic says Women in KDF and TPDF.
 
Back
Top Bottom