JWTZ, KDF: Wanawake kazini

JWTZ, KDF: Wanawake kazini

Tafadhali sana usilete tena second generation fighter jets, sisi tunazo Mig 21 second generation sawa na hizo zenu F-5, lakini tumeziweka kama maonyesho, hatutumii tena second generation ni old model, hazitumiki tena hizo.
The whole world knows Tz is weaker than Kenya military wise.
 
The whole world knows Tz is weaker than Kenya military wise.
Tanzanian army is not weak ,because fighting with colonialist made us strong(during struggle for Independence our army helped a lot of countries )and we are still fighting with colonialist because we are not bowing down to them in different matter that why we have to be strong every time and our country has a lot of natural resources unlike other neighbouring countries,but have you heard any neighbouring country messing with us? because we are strong.don't mess with TPDF.
 
Sioni vile Kapinga atasema kuwa Jeshi lake ni weak mbele ya vyombo vya habari, hiyo ni kujidhalilisha ila Jeshi lenu ni ovyo tu...kumbuka panga Boyz.

MUULIZE RAIS WAKO, KWANINI AL SHABAB WANAINGIA MJINI NA KUFANYA MASHAMBULIZI YA KUTISHA?
 
[emoji23][emoji23]awa wakenya sindio wale walio shindwa vita na watembea peku wa somalia mbona wanateseka sana
naijatwittersavages-20190528-0001.jpeg
 
JWTZ toka apewe mission hakuwahi kushidwa.comoros kashinda,Uganda kashinda na Congo aliwamaliza m23 sasa hv ndio wamezuka AFD na hao AFD wakiskia jwtz wanakuja wanajificha misitun wala hawafanyi vurugu Nambie ww mission ipi uliikamilisha ilhali ya swaumalia imekushinda kila siku alshabaab wanawakeketa soldiers wenu.tena ulivyo kuku maji umevamiwa hadi westgate ndan ya mipaka yako na wanamgambo wasomali je ingekuwa jeshi la nchi flan limewavamia si mngekua dominated
Sioni vile Kapinga atasema kuwa Jeshi lake ni weak mbele ya vyombo vya habari, hiyo ni kujidhalilisha ila Jeshi lenu ni ovyo tu...kumbuka panga Boyz.
 
The whole world knows Tz is weaker than Kenya military wise.
Ila ww ulievunjiwa boarders zako na wasomali mkakamavu we huna tofaut na mwanamke anayepigwa mkuyeye kwao maana haiwezekan upigwe ndan ya nchi yako ukajiita mkakamavu
 
Kaka mm nakaa hapo asa hzo na za kibera kenya zp slums .hzo za mwisho zip slums
images-7.jpeg
Gezaulole_Apartment_New3.jpeg
300px-Kibera_Nairobi_Kenya_slums_shanty_town_October_2008.jpeg
 
Bro is their any news that Tz boarders were invaded by foreign forces like Kenya?
No ,Tanzania huwezi kusikia watu wanakuja kutoka huko wanakuja kuvamia,Kama wanateswa na hao watu hata hawana mafunzo maalum,Kama wakikutana na JwTz jeshi lenye mafunzo mazuri si wataisha wote?
 
But Kenya is known to be weak militarily since we know that foreign forces like alshabab has made Kenya to be their home ground.that is sign of weakness.
Al shabab wana mgambo tu sio hata ka foreign force usiwape cheo hao wanachapwa na wanamgambo wanaoshindia mirungi na kandoro
 
Aahahhahahahhahhhhahahahhaahahahhhahhahahahahahhhhhahahhahahhhhhhahahahhhah
Al shabab wana mgambo tu sio hata ka foreign force usiwape cheo hao wanachapwa na wanamgambo wanaoshindia mirungi na kandoro
 
Kwa izo picha kiukweli awa Kenya wanaonekana wako juu, labda cc wa TZ za kwetu hazipo mitandaoni, otherwise hongerani majirani
Unawapa hongera wakati wanapigwa mbele ya wake zao na Alshabab.Mzee Baba umetupia Cha Arusha nini.Kama unazo silaha zote ndani mwako na unapigwa na vijana ambao hawana silaha wameokotana tu,basi wewe ni kupimwa.Mimi nawasifia Wana madem wakali jeshini nothing else shutup.
 
Back
Top Bottom