JWTZ, KDF: Wanawake kazini

Kuku ww mtu unapokuwa umeishiwa silaha maybe wafaa tumia martial law km hyo kuipata kwa adui yako ndio maana alshabaab wanawakeketa nje ndan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa watu ni washamba kweli kweli. Kwani wanaenda vita ama boxing game?
 
Huyo mmoja hapo ni sawa na KDF soldiers 250View attachment 1108808
Ushamba mwingine bana. Yaani mambo sipo kama haya ndio huwa wanayatumia kuwahadaa kwamba wao ndio majogoo? Tukitumia vigezo hivi hivi ina maana hata NYS ya Kenya ni zaidi ya JWTZ. Alafu National Youth Service(NYS) sio KDF wala Kenya Police, yaani hawa ndio vijana ambao hapo baadaye huwa wanajiunga na KDF, Kenya Police, AP(Polisi wa Utawala), KPS(Kenya Prisons Service) au KWS(Kenya Wildlife Service).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…