nyuzi za aina hii ni watanzania wenzako wanazifungua kwa nia ya ku ikejeli Jeshi la kenya na kujilinganisha na kenya.Lakini wakishindwa kujilinganisha au kutetea hoja zao wanasema wakenya wanapenda show off.
Kwani jeshi letu lipo kwa ajili yenu? Unatumia firigisi kuwaza au ubongo, JW ni kwa ajili ya watanzania siyo wakenya endeleeni kutazama upande wenu.nyuzi za aina hii ni watanzania wenzako wanazifungua kwa nia ya ku ikejeli Jeshi la kenya na kujilinganisha na kenya.Lakini wakishindwa kujilinganisha au kutetea hoja zao wanasema wakenya wanapenda show off.
Kwa huu uandishi wako wakimagumashi acha niseme tu kwamba sina la ziada. Nimekuelewa.
And why are you on this thread kwani unawashwa?Kwani jeshi letu lipo kwa ajili yenu? Unatumia firigisi kuwaza au ubongo, JW ni kwa ajili ya watanzania siyo wakenya endeleeni kutazama upande wenu.
Huo ni muwasho sugu kuanza kujilinganisha na mtu asiyekuwaza wala kukufikiria. Tunawaza namna ya kuwasaidia chakula kwa sasa siyo kuwaua.
Upuuzi mtupu, unadhani sote tunalala kwa mama kama wewe tukingoja wali uive? Wake up, jiongeze boss acha kujiona mjanja wakati unatupia comment kama za droupout wa darasa la tatu.Mkuu achana na huyo jamaa hana uhakika wa kula kesho asubuhi kwa sababu ya njaa huko kwao. Usije akapata kisingizio kuwa amekufa kwa mabishano kumbe njaa.
Huo mzigo aliobeba hapo hakuna mwanajeshi wa KDF ataweza kuubeba labda waubebe watano.Hao wawili ni sawa na KDF 100View attachment 1108799
Jiongezeni kwanza nyie siyo kufa na njaa kama Nzige.Upuuzi mtupu, unadhani sote tunalala kwa mama kama wewe tukingoja wali uive? Wake up, jiongeze boss acha kujiona mjanja wakati unatupia comment kama za droupout wa darasa la tatu.
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Huo mzigo aliobeba hapo hakuna mwanajeshi wa KDF ataweza kuubeba labda waubebe watano.
Thread imehusisha JW kwa mantiki ipi wewe Saitoti?And why are you on this thread kwani unawashwa?
Hao wawili ni sawa na KDF 100View attachment 1108799
Apart from Njaa ,Turkana and kibera what else do you have?Jiongezeni kwanza nyie siyo kufa na njaa kama Nzige.
Huo mzigo aliobeba hapo hakuna mwanajeshi wa KDF ataweza kuubeba labda waubebe watano.
Mnanenepa kwa mahindi yetu mnakuja kukoroma humu.Apart from Njaa ,Turkana and kibera what else do you have?
TZ Polisi Vs NYSView attachment 1108818View attachment 1108820
Kuna mzee nimemuona kwenye line ya kwanza kushoto ana miaka 67.Kaka hawa ndio scout wa kenya mbona utumbo hv