Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,040
We waache wapige kelele mitandaoniKitu ingine wakenya hamjui ni kuwa watanzania wengi wamepitia JKT Yaani Jeshi la kujenga taifa
Achana na hao wala mirungi wanajua wanaamini wana uwezo wa kijeshi kutuzidi kumbe wako hoi.Kitu ingine wakenya hamjui ni kuwa watanzania wengi wamepitia JKT Yaani Jeshi la kujenga taifa
We waache wapige kelele mitandaoni
Sisi mambo yetu ya kijeshi hayapo Google ndiyo maana wanajiona wako juu kwa vipicha vya google.We waache wapige kelele mitandaoni
Achana na hao wala mirungi wanajua wanaamini wana uwezo wa kijeshi kutuzidi kumbe wako hoi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watanzania tumekaa tu tunawachora wanatuma hayo mascrepa yao.Hawajui ukimaliza kidato cha sita huku unapitia Jeshi kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watanzania tumekaa tu tunawachora wanatuma hayo mascrepa yao.
Ipo air force military base,JWTZ Ina Air force kweli?? Ukizingatia wanatumia Ndege za ATCL for logistics.
Waambie,Mimi mwenyewe nashukuru nilikuwa operation kikwete wakati anaondoka madarakani[emoji3][emoji3]Hawajui ukimaliza kidato cha sita huku unapitia Jeshi kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Zipo ndege za kivita, tena kutupa mabomu kabisa sawa wewe?Na mbona wanatumia dreamliner kusafiri? Napiga hesabu Kama ni KDF wanatumia KQ ama Jeshi la Marekani kutumia Delta Airlines...Does JWTZ really have military planes?
Njoo Tanzania nikupeleke air force military base ilipo.Hata usijusumbue kuuliza, they don't have.
Acha kumwaga mchele kwenye kuku wa Turkana wenye njaa kali.Ipo air force military base,
Umezaliwa mkoa gani wewe nikuelekeze?
Ukiwa maeneo ya jirani na kambi yao frequently wapo mazoezini kurusha ndege, kwa wiki hata mara 5
Ati Siri,wakati Kila silaha mnanunua kutoka nchi zilizoendelea?Sisi mambo yetu ya kijeshi hayapo Google ndiyo maana wanajiona wako juu kwa vipicha vya google.
Jeshi ni usiri kama wao wanashindwa kuwa hata na usiri wataweza kuwa na usalama kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23]Waambie,Mimi mwenyewe nashukuru nilikuwa operation kikwete wakati anaondoka madarakani[emoji3][emoji3]
Hahaha sasa hata kama tunazinunua kwa nchi zilizoendelea kuna sababu gani ya kuzitangaza? Huo ni ulimbukeni wa hali ya juu.Ati Siri,wakati Kila silaha nanunua kutoka nchi zilizoendelea?
Mtakuwa na Siri siku mtakuwa developed country plus mnajitengenezea zenu,
Sahii ata sindano mnaagiza
Ujue kuna mambo hata mtandaoni kuyaongea unaona aibu. Yaani nikae kuongea kuhusu jeshi letu wakati najua lina uwezo wa kulinda nchi hii na kupanua mipaka ya nchi lipendavyo kila upande.
Tanzania tunajikwamua kiuchumi ila msije mkafikiria kuwa kutuzidi uchumi basi mnatuzidi vyote (itakuwa mistake kubwa) nyie mjilinganishe kwanza na wanajeshi wa Kampala (siyo Uganda) mkiwashinda ndipo mje kujilinganisha na JW.