JWTZ, KDF: Wanawake kazini

Hahahahaha, Hahahahaha. Kuanzia Leo ukisikia Tanzania wanasifia JWTZ, usiseme kitu, acha wasifie.
You must be really desperate you are now posting patrol boats armed with machine guns ?....post a battle ship that can engage Kns Jasiri or even Nyayo in maritime combat.
 
KDF walirudi kwa KQ ama military plane? Afu SI uweke hiyo picha kdf wakiabiri KQ...afu weka ya JWTZ wakiabiri drimulaina.
 
Nyinyi tunawaitia wale vijana was kongo...panga Boyz wamalize kazi Hadi Ikulu ya Dar.
 
KDF moto wa kuotewa mbali. Hongereni waKenya wenzangu. Mmewavua midanganyika 😂 bado hawaamini.
 
di
meanwhile did you know these rifles can pay salaries of more than 10 JWTZ personnel
View attachment 1108200View attachment 1108204View attachment 1108196

Ahhh, Kwa hiyo hata huyo aliyobeba hilo rifle analipwa zaidi Au na yeye kabeba kifaa cha thamani kuliko Mshahara wake, Just asking .


Nimeona Kuna maeneo kadhaa nchi zetu zinatumia Rifle zinafana.

Hizi Naziona sana kwa wakenya, Tz pia wanazo ila zinaonekana mbaya sana 🤣

1.


2.


3.


4.


5.


6.


7.


8.


9.


10.
 

Attachments

  • IMG_0107.JPG
    102.6 KB · Views: 23
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio wanaume?
 
apart from the Tavors and the M 16 most of your weapons are outdated .I even see cold war era Chinese weapons on pic number 9
 
Unataka tupambane nao kutumia nini?? mapanga kama M23 rebels
Kumbe wanamgambo wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi mnapambana nao kwa kutumia zana za kisasa za kivita na bado wanawatoa kamasi halafu bado mnajigamba mna jeshi bora!!! Tena basi ni ma-invetory mliyoanza kuyajaza baada ya kuanza na Al Shabaab! Are you serious?! Unajaza ma-invetory kwa ajili ya kupambana na kikosi cha wanamgambo wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi?! Very sorry for you, mnadhani jeshi imara linapimwa for number of inventories tena ambazo zimenunuliwa with little military need!! Tuchezeeni siku moja kama hamjazikimbia hizo! No wonder nimewauliza mmewahi kupigana vita gani na mkashinda, hakuna hata mmoja aliyenijibu hilo swali!

Halafu ma-KDF bhana, wanaenda kombania mzima na mavifaru juu kwenda kupambana na wanamgambo sita! Yenyewe inafika eneo la tukio, badala ya kupambana, inaishia kuiba juice na biskuti supermarket 😀😀 :

 
apart from the Tavors and the M 16 most of your weapons are outdated .I even see cold war era Chinese weapons on pic number 9

You have the same

Kenya



Tanzania




Kenya




Tanzania




Kenya




Tanzania




Kenya




Tanzania




The rifle that we don’t have and you have

Kenya




What I didn’t see from your troops that Tanzania Have .

You say chinese riffle is outdated while some of your troops use 1950s Rifle ??? 🤣








My friend this rifle even stopped production long ago .






Waosha vinywa waelewe naongelea rifles kulingana na picha nilizoona. Wanaojua nimekosea unatakiwa ulete picha ueleweshe sio kuosha tu kinywa. 🤣
 

Attachments

  • IMG_0119.JPG
    116 KB · Views: 20
  • IMG_0121.JPG
    54.1 KB · Views: 23
KDF moto wa kuotewa mbali. Hongereni waKenya wenzangu. Mmewavua midanganyika 😂 bado hawaamini.
Wakenya naona mnakwepa swali langu! Nitajieni vita MOJA TU ambayo mmewahi kupigana na mkashinda!!! Ili kuweka kumbukumbu sawa, nalazimika kukukumbusha kwamba hata wanamgambo wa Al Shabaab ambao hawa mafunzo yoyote ya kijeshi na wenyewe mmewashindwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…