Mantheman6
Senior Member
- May 30, 2020
- 169
- 144
- Thread starter
-
- #61
Lkn humu si kuna wajeda pia?.
Pale itakuwa rahisi zaidi akaonyeshwe na vikosi vingine ma MP ni wakarimu mno
Kwamba Anataka kuondoa stress zake kupitia JF?!!.Watu kama hawa ni wakuwapotezea tu unakuta hapo alipo mfukoni hana hata mia wala hajui leo atakula nini asubuhi kaamkia maji tu na bando lakukopa kwaio anakuja humu kutafuta watu wa kuwabugdhi
Paratroopers wapo kila special operations forces ( land or navy) hao walokuja na helicopters wanafanya halo jump paratroopers inamaana wanadondoshwa kwa uwanja wa medani na parachutes
Hizo sio red, ni damu ya mzee ndizo wanavaa landforce cdo'sNijuavyo mimi red beret huwakilisha Millitary Police(MP)
Hahahahah kwamba jamaa ni wakarimu sana😂Pale itakuwa rahisi zaidi akaonyeshwe na vikosi vingine ma MP ni wakarimu mno
Commandos always wako kwa kambi na wanakua wanahamishwa hamishwa yani.View attachment 2039501
Hivi ndugu zangu hawa maafande tunaishi nao uraiani ama wao hukaa kwenye makambi yao kipindi chote cha ajira?
Commandos always wako kwa kambi na wanakua wanahamishwa hamishwa yani.
Hahahahah kwamba jamaa ni wakarimu sana😂
Hao unakuwa kama umewasahau kwanza unaweza ruhusiwa usioe kabisaDuh mbona ni kazi yenye majukumu mazito sana aisee sasa vipi inapotokea anataka kuoa na kuanzisha familia au pale inapotokea mtu wake wa karibu kama mama kupata tatizo kama kuugua huwa wanaruhusiwa kwenda kusalimia ama kuuguza?
Wooote hao ni cha mtoto mbele ya Kingai na Mahita na Jumanne ...wanalizwa kama watoto
Halaf mimi zaman nilikuaga najua eti makomando huwa wana train ulaya il hawa inaonekana wame train hapa locally na wao wanakua tena waalim wa wenzao sasa hawa akina JIDE a.k.a "komando machozi"kingai alaaniwe na kizaz chake makomando wetu wamelia kama watoto mbele ya kingai
Hakuna yenye risasi pale hata moja,zinakagulia na watu zaidi ya wawiliJana nimetamani hadi niwe mwanajeshi wale watu wako na vibe nidhamu ya hali juu.
Naomba uliza bunduki zinakua na risasi au hazina.
Hakuna yenye risasi pale hata moja,zinakagulia na watu zaidi ya wawili
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wapo askari kwa ajili ya ulinzi,na wapo kwa ajili ya maonesho.Sawa nimeelewa, kuuliza vipi uvamizi ukitokea?
😂😂 omba wasikukamate tu mkuu. Utajuta kabisa.Wooote hao ni cha mtoto mbele ya Kingai na Mahita na Jumanne ...wanalizwa kama watoto
Combat mpya kabisa tunaishi nao tu mzeeView attachment 2039501
Hivi ndugu zangu hawa maafande tunaishi nao uraiani ama wao hukaa kwenye makambi yao kipindi chote cha ajira?