Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Yani mleta mada ni kama umelewa gongo asubuhi...Unachokiandika hujui, eti TEC ni chombo kinacho ratibu elimu dunia nzima na kimetapakaa duniani kote....shame shame..

Embu Waislam mnapochagua watu wakuja kuleta post humu atleast muwachuje wale wenye uelewa wa mambo kidogo...Mnazidi jiabisha ndugu..Ndo maana tunasema bado mpo nyuma kielimu..

acha upumbavu ww! Ww ambaye uko mbele kielimu uko wapi? Shame on u...
 
Kama uwezo wa Waislamu wote ni huu basi uislam ni Tatizo pia, hivi unafaham kwamba OIC ni Jumuia huwezi kuifananisha na Vatican ambayo siyo muunganiko wa maamlaka mbalimbali, mbona Tanzania ina barozi za nchi kama Iran, Saudia ambazo ni nchi za Kiislam. Jifunze kutofautisha vitu. Nyie Waislam mnaruhusiwa kujiunga na Jumuia yeyote kama ambavyo wakatoliki na madhehebu mengine wanaruhusiwa, lakini ni Mwiko kwa nchi kujiunga na jumuia za kidini.

ok, Vatican sio muunganiko wa mamlaka mbalimbali, bali ni nn?
 
wakati mwingine ujinga nao ni utumwa. Eti vatican wanabalozi wao Tanzania kwa hiyo Tanzania ijiunge na OIC, mbona huu uelewa ni wa kiprimary sana? Kwahiyo balozi wa vatican Tanzania anawawakilisha wakristo wote? Au hujui kwamba vatican ni ufalme unaojitegemea ndani ya Italy? Hujui kwamba vatican ni dola? Soma vizuri uelewe mkuu usipende kukurupuka! Au unataka na sisi tuhoji kwanini Tanzania ina ubalozi wa falme za kiarabu hapa? Unataka tuhoji kwanini tuna ubalozi na Irani ilihali Iran ni nchi ya kiislamu? Ukiongelea OIC unaongelea organization ambayo ipo kwa maslahi ya uislamu na unapoamua kujiunga nayo, unaifanya nchi yako itambuliwe rasmi kama nchi ya kiislamu. Lakini balozi wa Vatican hakuwahi kusema Tanzania ni nchi ya kikristo hata siku moja. Huu udini unaodevelop hivi sasa naona unatoa mianya ya watu kuanza kuhoji hata vitu visivyo na mantiki.
 
Nchi nyingine kuwa wanachama wa OIC: Kwanza Tanzania sio Uganda na wala sio Ivory Coast. Mbona huongelei upande wa pili wa shilingi; kwanini nchi nyingine sio wanachama wa OIC? Mbona hilo hulioni? Au ni Tanzania pekee ndio sio mwananchama wa OIC?

Huyu ni wa kumsamehe bure, uwezo wake umekaa kimadrassa zaidi anataka kutuambia kinachofanywa na nchi nyingine lazima Tanzania iige, huyu huyu Kesho na Keshokutwa atakuwa wa Kwanza kuandamana ikitokea Tanzania inaridhia uwepo wa USHOGA kisheria hapa Tanzania, hata tukimpa sababu kama ya kwake kwamba mbona Uingereza na Marekani wameridhia?
 
Kwa hiyo TEC wamejiunga wakatoliki au Tanzania kama nchi? Waislamu
hawajakatazwa kujiunga OIC, mkitaka kujiunga mnaweza hata leo, lakini sio nchi. Kwanini mnalazimisaha ncho ndo ijiunge na si bakwata au taasisintingine?

iki ndo kitu ambacho mleta uzi hakuwa amekifikiria vizuri ama kwa kufanya makusudi anajifanya hajui
 
ok, Vatican sio muunganiko wa mamlaka mbalimbali, bali ni nn?

Ndugu hili nalo unataka upewe majibu hapa jamii forum??........nakushauri nenda google utapata info zote kutoka kwenye source mbali mbali na utapata uelewa zaidi kuliko hapa mpaka mtu ajibu halaf uulize tena au ubishane nae utapoteza muda,pia utapewa majibu ya kishabiki au kejeli na matusi na unaweza usikidhi mahitaji yako ya kutaka kuelewa
 
Sametime muwe mnawasamehe hawa ndg zetu waislam..
Mnaisema sana vatican, mbona vatikani ni nchi?
Mbona tuna ubalozi wa nchi zenye waislam %100, mfano ubalozi wa saudia, Irani,nk acheni use...nge
kamwe misaada haitawafanya muwe bora.. Kwanza hamna umoja...nadhani mna laana inawatafuna...
 
Wivu unawasumbua,B.membe alishawahi kusema mbele ya bunge kuwa tz kujiunga na oac haina tatizo,kwani hata hao wakiristo watanufaika nayo,na hii ni kutokana uchunguzi aliofanya.

membe aliyasema ayo kwa interest zake kisiasa kama mkuu wa kaya alivyoaidi kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi pindi atakopopewa ukuu wa kaya au haya ww huyakumbuki?
 
Ni jambo la kusikitisha sana kuona viongozi wa dini wa Kikristo, hasa Wakatoliki, wakikataa katakata Tanzania kujiunga na OIC. Sababu wanayoitoa ni kwamba Tanzania sio nchi ya kidini hivyo haiwezi kujiunga na OIC ambacho ni chombo cha Waisalamu. Wakati wanaendelea kushushumalia Tanzania isijiunge na OIC, wao wana vyombo mbalimbali vya Kikatoliki hapa Tanzania vinavyowaunganisha na Wakatoliki dunia nzima. Kwa mfano, Balozi wa Vatican ambaye ni Mwakilishi wa Papa yupo hapa Tanzania. Isitoshe, wana chombo chao cha kimataifa kuhusu masuala ya elimu hapa Tanzania kiitwacho Tanzania Episcopal Conference ambacho kimetapakaa dunia nzima. Kwa nini wao waruhusiwe kuwa na vyombo vya kidini vya kimataifa wakati Waislamu wakataliwe? Kibaya zaidi ni kwamba wakati Tanzania inakataliwa kujiunga na OIC, nchi zingine kama Uganda, Cameroon, Nigeria na Mozambique, Ivory Coast ni wanachama wa OIC na wanafaidika na misaada wanayopata kutoka OIC. Huu ni ubeberu uliopindukia. Hali hii haikubaliki hata kidogo na waislamu wataendelea kupigania haki yao hii mpaka waipate au Wakristo wa Tanzania na wao wasiruhusiwe kujiunga na vyombo vya kidini vya kimataifa. Mods muwe wavumilivu na mawazo tofauti ya members ili mradi hayavunji kanuni za JF na sheria za nchi. Mjitahidi kuzuia unazi wenu. Aluta Continua.
suala la oic ni la kikatiba,kwa mjibu wa katiba ya oic kuna mashart,moja ya sharti ni lazima ni hiyo iwe ya kiislam,kwakuwa nchi yetu haina dini,katiba ya jmt inatoa uhuru wa kuabudu kwa kila raia ana uhuru wa kuchagua iman anayoitaka bila kuingiliwa na mtu yeyote.pia wengi wa waislam hawasemi ukweli kinachowasukuma kwenye oic,misaada sio sababu,kwani ni nchi gani miongon mwa wanachama imejikomboa toka kwenye umasikin kwa misaada ya oic?ktk nchi masikini 10 zaidi duniani nying ni wanachama wa oic,eg niger,mauritania,msumbiji n.k pia kuna utofauti mkubwa kati ya oic na vatican,vatican ni nchi kama zlilivyo nchi zingine,askofu mkuu wa kanisa la catholic dunian ndie mkuu wa nchi ya vatican.mfano iran kiongozi mkuu wa nchi ni kiongoz wa kiroho wa kiislam.kwa sasa ayatollah khomein.
 
Ni jambo la kusikitisha sana kuona viongozi wa dini wa Kikristo, hasa Wakatoliki, wakikataa katakata Tanzania kujiunga na OIC. Sababu wanayoitoa ni kwamba Tanzania sio nchi ya kidini hivyo haiwezi kujiunga na OIC ambacho ni chombo cha Waisalamu. Wakati wanaendelea kushushumalia Tanzania isijiunge na OIC, wao wana vyombo mbalimbali vya Kikatoliki hapa Tanzania vinavyowaunganisha na Wakatoliki dunia nzima. Kwa mfano, Balozi wa Vatican ambaye ni Mwakilishi wa Papa yupo hapa Tanzania. Isitoshe, wana chombo chao cha kimataifa kuhusu masuala ya elimu hapa Tanzania kiitwacho Tanzania Episcopal Conference ambacho kimetapakaa dunia nzima. Kwa nini wao waruhusiwe kuwa na vyombo vya kidini vya kimataifa wakati Waislamu wakataliwe? Kibaya zaidi ni kwamba wakati Tanzania inakataliwa kujiunga na OIC, nchi zingine kama Uganda, Cameroon, Nigeria na Mozambique, Ivory Coast ni wanachama wa OIC na wanafaidika na misaada wanayopata kutoka OIC. Huu ni ubeberu uliopindukia. Hali hii haikubaliki hata kidogo na waislamu wataendelea kupigania haki yao hii mpaka waipate au Wakristo wa Tanzania na wao wasiruhusiwe kujiunga na vyombo vya kidini vya kimataifa. Mods muwe wavumilivu na mawazo tofauti ya members ili mradi hayavunji kanuni za JF na sheria za nchi. Mjitahidi kuzuia unazi wenu. Aluta Continua.
suala la oic ni la kikatiba,kwa mjibu wa katiba ya oic kuna mashart,moja ya sharti ni lazima ni hiyo iwe ya kiislam,kwakuwa nchi yetu haina dini,katiba ya jmt inatoa uhuru wa kuabudu kwa kila raia ana uhuru wa kuchagua iman anayoitaka bila kuingiliwa na mtu yeyote.pia wengi wa waislam hawasemi ukweli kinachowasukuma kwenye oic,misaada sio sababu,kwani ni nchi gani miongon mwa wanachama imejikomboa toka kwenye umasikin kwa misaada ya oic?ktk nchi masikini 10 zaidi duniani nying ni wanachama wa oic,eg niger,mauritania,msumbiji n.k pia kuna utofauti mkubwa kati ya oic na vatican,vatican ni nchi kama zlilivyo nchi zingine,askofu mkuu wa kanisa la catholic dunian ndie mkuu wa nchi ya vatican.mfano iran kiongozi mkuu wa nchi ni kiongoz wa kiroho wa kiislam.kwa sasa ayatollah khomein.
 
Yani mleta mada ni kama umelewa gongo asubuhi...Unachokiandika hujui, eti TEC ni chombo kinacho ratibu elimu dunia nzima na kimetapakaa duniani kote....shame shame..

Embu Waislam mnapochagua watu wakuja kuleta post humu atleast muwachuje wale wenye uelewa wa mambo kidogo...Mnazidi jiabisha ndugu..Ndo maana tunasema bado mpo nyuma kielimu..

Sawa Mimi nimekunywa Gongo Asubuhi. Turudi kwenye mada wakati bado nikiwa Njwiiiii. Jibu hoja kwa hoja. Unaporudia malalamiko yangu na kuishia kusema Shame, Shame bila kuja na hoja ina maana kwamba wewe ni mbulula wa kuokotwa kwenye mitaro.
 
Haya tumekusoma. Dr. Dhaifu atalifanyia kazi. Lakini hii sio Siasa. Haya malalamiko yako ungeyatupia kwenye jukwaa la Dini/ imani.

Kwani OIC ni suala la dini? Kama ni suala la dini mbona nchi zenye wakristo wengi kama Uganda, Cameroon, Mozambique, etc ni wanachama?
 
Kwa hiyo TEC wamejiunga wakatoliki au Tanzania kama nchi? Waislamu
hawajakatazwa kujiunga OIC, mkitaka kujiunga mnaweza hata leo, lakini sio nchi. Kwanini mnalazimisaha ncho ndo ijiunge na si bakwata au taasisintingine?

Uanachama wa OIC ni kupitia kwenye nchi. Huwezi kujiunga OIC kama taasisi ndani ya nchi. Suala hapa ni kwamba kwa nini Wakatoliki wa Tanzania hawataki Tanzania ijiunge na OIC wakati Wakatoliki wa nchi nyingine kama Uganda, Mozambique, etc hawana hiyana? Papa wao si huyohuyo mmoja? Ndo maana tunasema Tanzania kuna mfumo kristo ambao hata kwenye nchi za Kikristo kama nilizotaja hapo juu haupo.
 
Kwa mara nyingine tena hoja ya Bunge kupitisha sheria ya kurudisha ofisi ya Kadhi Mkuu linajitokeza tena huku waislamu wakitaka Bunge litunge sheria ya kutambua uwepo wake na wakristu wakipiga kelele kuwa kufanya hivyo ni kuvunja Katiba. Hoja yangu leo ni kuwa, Waislamu hawahitaji kibali cha serikali kuanzisha ofisi ya Kadhi Mkuu kushughulikia mambo yao yanayoendana na sheria za Kiislamu.

Waislamu wakae wao wenyewe wapitishe uwepo wa ofisi hiyo na kuendelea na shughuli zao. Ilimradi tu, maamuzi ya ofisi yao hiyo hayaingilii uhuru wa Mtanzania mwingine au utendaji kazi wa sheria zetu za makosa ya uhalifu na jinai. Pia waelewe ya kwamba uwepo wa ofisi ya Kadhi Mkuu ni subject ya Katiba ya Muungano na Mtanzania yeyote kimbilio lake la mwisho ni mahakama ya Kiraia. Zaidi ya yote, watakapoanzisha ofisi hiyo, wajue kuwa isiwalazimishe waislamu wote kutatua matatizo yao kupitia ofisi hiyo isipokuwa wale ambao kwa hiari yao wanataka kufanya hivyo.

Kanisa Katoliki kwa mfano linayo mahakama yake na sheria zinazoliongoza kanisa hilo (Canon Law) na mahakama yake hiyo ina ngazi za rufaa hadi Vaticano. Hata hivyo Mkatoliki ana haki ya kutumia sheria hizo kuhusu masuala mbalimbali ya kanisa lake, lakini anapofanya kosa la jinai, sheria za kiraia (civil law) zinakuwa na mamlaka. Hivyo basi, waislamu wasisubiri Bunge kupitisha ofisi ya Kadhi Mkuu bali waianzishe wao wenyewe huku wakiweka bayana kabisa kuwa ofisi hiyo haitahusika na makosa ya jinai au kupingana na Katiba ya nchi. Then, hakutakuwa na haja ya kugongana!!!

Umenena kaka.
 
Nafikiri ndugu zangu waislam mnajenga hoja kwa Imani na hisia zaidi bila facts, hizi ni tabu ni ukweli ningependa kuona waislam wakipata misaada Kama wakristo, ili nao wapumue na kujenga ustawi wa taifa na dini Yao lakini ukweli usiofichika kuwa mwanachama wa IOC ni lazima nchi iwe ya kiislam na tanzania sio nchi ya kiislam vinginevyo mtakuwa mnalazimisha vitu visivyowezekana kwa madai mnaonewa na hi ni hatari, lakini pia nafikiri zifanyike jitihada za dhati kwa wakristo na serikali kuweza kuwasaidia waislamu kwani kukataa kufanya hivyo ni kutengeneza bomu ambalo linaweza kulipuka wakati wote, kukataa kuwasaidia watu hawa hakuna tofauti na kujenga taifa lenye tabaka la masikini na matajiri, upendo ni kitu cha msingi ktk ustawi wa jamii na taifa, na hili wakristo tunahimizwa sana, Kama tunafikiri kuwadharau na kuwabeza inatufanya sisi ni bora kuliko wao tutakuwa wapuuzi tukumbuke hakuna mwanadamu aliye bora kuliko mwingine, nimefarijika sana niliposikia mufti simba kujaribu kukutanisha viongozi wa dini hizi kubwa kujadili matatizo yanayojitokeza japokuwa kuna baadhi ya waislamu wanaona Kama mufti simba anawatumikia wakristo! Viongozi hawa wa dini hizi wazungumze ukweli hata Kama ni mchungu, may god bless our country, Muslim, Christian and non believer.
 
mleta mada naomba kukufafanulia mambo uliyouliza hapo juu.
Vatican ni nchi kama ilivyo Tanzania, Kenya, Germany nk. hivo wewe kuhoji kuhusu ubalozi wa Vatikani hapa bongo ni sawa na kuhoji kuhusu ubalozi wa Uholanzi au Kenya kwa nini uwepo bongo au kuhoji ubalozi wa Iran ambayo ni Islamic state why uwepo hapa Bongo. kwa hivo suala la huo ubalozi kuwa hapa Bongo ni jambo la kawaida na limefuata Protocol zote kaka.
TEC (Tanzania Episcopal Conference) hili ni baraza la maaskofu katolic Tanzania, ni baraza tu kwenye dini ya wakatoliki kama ilivo baraza la maulamaa kwenu. Nafikiri sihitaji kufafanua zaidi kwenye hilo.
Kuhusu OIC hiyo kaka nafikiri waifahamu, labda tu ufafanue wewe why tujiunge nayo, na je wewe uko tayari tanzania ijiunge kwenye shirikisho la dini ya kikristo? utakubali au yataanza maneno mengine tena?

Ndio Vatican ni independent country. Lakini ni nchi ambayo imeundwa kiaina ili kuwa kitovu cha kueneza Ukatoliki duniani. Kulikuwa hakuna sababu ya msingi ya kuipa Vatican status ya nchi ndani ya Italy zaidi ya hiyo kwani nchi yenye ukubwa wa eneo la heka 15 ni utani. Hivyo Vatican ni chombo cha kusambaza ukatoliki duniani. Hata Nyerere alikuwa akipewa malengo na Ukatoliki wa kukandamiza waislam na madhehebu mengine ya Kikristo na alikuwa akitoa ahadi ya kufuatilia matakwa ya Wakatoliki kwa Balozi wa Vatican hapa Tanzania. Hivyo utaona kwamba kama Vatican mipango yake ni kuikandamiza jamii moja dhidi ya nyingine na kuhakikisha ukatoliki unapendelewa dhidi ya dini na madhehebu mengine, basi HAIFAI hata kidogo kupewa ubalozi kwenye nchi Kama Tanzania ambayo ina raia wa dini tofauti na madhehebu tofauti.

Kweli TEC ni kwa ajili ya Tanzania tu. Lakini TEC ina mfumo wa pyramid mpaka kwa Papa. Hivyo TEC ya Tanzania ni node ya chini kabisa kwenye mfumo huo. Juu ya TEC kuna The Association of Member Episcopal Conferences in Eastern Africa (AMECEA) etc. Hivyo utaona kwamba huu si mfumo Kikatoliki wwa nchi tu. Ni mfumo wa kimataifa.

Kujiunga na OIC sio suala la kidini. Ni suala la kimaslahi kwa Watanzania wote. Tanzania ni taifa maskini sana hivyo linahitaji misaada. Kwa nini tukatae misaada hiyo wakati nchi ambazo ni tajiri zaidi yetu kama Mozambique zinakinga mkono? Hivyo suali lako kwamba kwa nini tujiunge nayo ni kwa sababu tunahitaji misaada.
 
Ni jambo la kusikitisha sana kuona viongozi wa dini wa Kikristo, hasa Wakatoliki, wakikataa katakata Tanzania kujiunga na OIC. Sababu wanayoitoa ni kwamba Tanzania sio nchi ya kidini hivyo haiwezi kujiunga na OIC ambacho ni chombo cha Waisalamu.

Wakati wanaendelea kushushumalia Tanzania isijiunge na OIC, wao wana vyombo mbalimbali vya Kikatoliki hapa Tanzania vinavyowaunganisha na Wakatoliki dunia nzima.

Kwa mfano, Balozi wa Vatican ambaye ni Mwakilishi wa Papa yupo hapa Tanzania. Isitoshe, wana chombo chao cha kimataifa kuhusu masuala ya elimu hapa Tanzania kiitwacho Tanzania Episcopal Conference ambacho kimetapakaa dunia nzima.

Kwa nini wao waruhusiwe kuwa na vyombo vya kidini vya kimataifa wakati Waislamu wakataliwe?
Kibaya zaidi ni kwamba wakati Tanzania inakataliwa kujiunga na OIC, nchi zingine kama Uganda, Cameroon, Nigeria na Mozambique, Ivory Coast ni wanachama wa OIC na wanafaidika na misaada wanayopata kutoka OIC.

Huu ni ubeberu uliopindukia. Hali hii haikubaliki hata kidogo na waislamu wataendelea kupigania haki yao hii mpaka waipate au Wakristo wa Tanzania na wao wasiruhusiwe kujiunga na vyombo vya kidini vya kimataifa.

Mods muwe wavumilivu na mawazo tofauti ya members ili mradi hayavunji kanuni za JF na sheria za nchi. Mjitahidi kuzuia unazi wenu.

Aluta Continua.

Hapa kiukweli hutumii akili yako vizuri manake unalazimisha nchi ijiunge badala ya wewe mwenyewe au dhehebu lako kujiunga kwani kwa wakiristo ni Tanzania ndio ilyojiunga?
 
Back
Top Bottom