...inauma sana watanzania wenzangu! pamoja na neema yote hii ambayo Mungu ametupa ya kuwaumbua CCM na kutuonyesha ni kwa jinsi walivyo mabaradhuli, bado kuna mingese kama Zomba inaendekeza u-chama (specifically u-CCM)!!! Hakyamungu, ningejua physical adress yako wewe Zomba, ningekutafuta nikufanyizie!!! Mnatuletea man-made poverty kisha unaleta utani kwenye issue sensitive kama hii!!!??? Maku we!!
Sasa
[*]Kwanini Serikali Inalipa Kipaumbele "Dowans" Wakati Wastaafu Wengi Hawajalipwa Miaka Mingi Sasa na Pia Wizara Nyingi Hakuna Pesa (Elimu na Afya)? Serikali Inatoa Wapi Pesa?
[/LIST]
Ukisikia mawakili pumba ndio hao. Kesi imeamuliwa ICC na mahakama ya hapa ni kusajili maamuzi, wangepinga huko ICC na si hapa, mahakama ya Tanzania haina mamlaka ya kufuta maamuzi ya ICC.
Wanajitafutia umaarufu lakini hawana kesi ya kushinda katika hili. Wangeshinda ingekuwa tu Dowans hawatimiza masharti ya mkataba.
The only way out ni kutangaza kuwa hatuwalipi Dowans na kuwalipa chini ya uvungu. Otherwise ya LONRHO na Nyerere yatajirudia.
Kwa waliosoma hukumu wanajua wapi tuliposhikwa! Tafsiri ni kwamba kukataa hukumu ya ICC ni kupoteza wakati; muhimu ni kuikataa Serikali iliyopitisha mkataba na Kampuni hewa!Pasco said:ilichofanya (ICC) ni kuidhinisha tuu vipengele vya mkataba ambao walikubali uamuzi wake ni wamwisho, hauna rufaa wala hauhojiwi na mamlaka yoyote!
Dk. Mwakyembe alisema ana shauku ya kujua ni kwa namna gani serikali imepoteza kirahisi kesi hiyo, ambayo alisema hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa digrii ya sheria angeweza kuisimamia na kushinda.
Kwa ufupi ni kuwa endapo Dowans watalipwa kama ilivyoamuriwa na serikali ya JK; na wakalipwa na ikajulikana wamelipwa fedha hizo basi Sitta na Mwakyembe watapaswa kujiuzulu nafasi zao katika Baraza la Mawaziri mara moja. It is as simple as that.
Kazi kweli kweli halafu hili la TANESCO pia inabidi liangaliwe maana nimekuwa nikijiuliza hizo hela za kulipa hawa jamaa zitatoka wapi
Wakati wote nilikua nikijiuliza mzee mzima wamembana mbavu sana nini au tayari kakatiwa kitu kidogo? Mpaka dakika hii hewala!! Acha ninywe kwanza chai ndio nirudi mezani kusoma vizuri hii taarifa muhimu.
Napenda kumsikia Zitto na hoja yake jamaa watakamata mali za Tanzania nje!
Sababu zilizokupelekea kusema Dowans si kampuni halali ni zipi? Haijasijiliwa? Haina wenyewe? Haina bodi? Haijafanya kazi iliokubaliana na Tanesco? Sijakuelewa, naomba fafanuwa.