blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,517
- 8,872
Siyo wamachinga, nyimbo ya mv bukoba ili mwondoa.itakua sababu ya wamachinga
Siyo wamachinga, nyimbo ya mv bukoba ili mwondoa.itakua sababu ya wamachinga
Ukiwa unatoka Bukoba mjini kuelekea vijijini kwa kufuata barabara ya Maruku. Upande wa kulia baada ya kona moja hivi iliyo mlimani.Nilisikia pia kitu km hicho, pale nje kidogo na BK kuna hotel moja kubwa sana( jina kapuni), wajuvi wa mambo wanasema aliwahi kuonekana kwenye hiyo hotel baada ya kifo chake.....sina uhakika na haya maana siwez kudhibitisha.
Mshana jr pitia hapa utupe mawili matatu...inavyosemekana lakini hakuna mwenye uhakika eti Ras K alionekana maeneo fulani baada ya kifo chake au ni dhana tu..Ukiwa unatoka Bukoba mjini kuelekea vijijini kwa kufuata barabara ya Maruku. Upande wa kulia baada ya kona moja hivi iliyo mlimani.
Wenyeji zaidi wa maeneo hayo watatusaidia,maana nami niliambiwa tu.
Justin Kalikawe, Innocent Galinoma na Innocent Nganyagwa ni watu watatu tofauti kabisa.Ndio huyo Innocent Galinoma mkuu au ni watu wawili tofauti?
Mmmmh, sasa kidogo utaje hiyo hotel but inasadikika hivyo.....aidha kwenye famili ya ndugu wa huyu mwenye hiyo hotel inasadikika wana mambo ya ajabu sanaa....kama.hayo......Ukiwa unatoka Bukoba mjini kuelekea vijijini kwa kufuata barabara ya Maruku. Upande wa kulia baada ya kona moja hivi iliyo mlimani.
Wenyeji zaidi wa maeneo hayo watatusaidia,maana nami niliambiwa tu.
Innocent Nganyagwa yuko nchini. Familia yao inaishi Keko Juu. Innocent Galinoma ni mtoto wa marehemu Stephen Galinoma aliyewahi kuwa mbunge wa Kalenga. Innocent anaishi na kufanya kazi zake nje ya nchi. Ni wasanii tofauti.Nahisi ndiye ila sina uhakika, nilikuwa namuonaga sana maeneo ya keko/Dar
Thanks mkuu.Justin Kalikawe, Innocent Galinoma na Innocent Nganyagwa ni watu watatu tofauti kabisa.
Aisee!Miaka ya elfu mbili mwanzoni nikiwa nasoma Rugambwa girls,nilimuona alikuwa kaisha balaa,nyumbani kwao ilikuwa siyo mbali na shuleni kwetuNasikia. alikuwa ana virus vinavyosababisha Ukimwi.Any way namkumbuka kwa wimbo wake "Kuna wanadamu wengine wana roho za korosho,hawapendi kuwaona wenzao wakifanikiwa maishani.
Shukrani mkuu.Innocent Nganyagwa yuko nchini. Familia yao inaishi Keko Juu. Innocent Galinoma ni mtoto wa marehemu Stephen Galinoma aliyewahi kuwa mbunge wa Kalenga. Innocent anaishi na kufanya kazi zake nje ya nchi. Ni wasanii tofauti.
Penye mafanikio hapakosi mambo kamahayo ya fitinana vitisho. Huenda ilikuwa njia ya kuharibu biashara ya mtu.Mmmmh, sasa kidogo utaje hiyo hotel but inasadikika hivyo.....aidha kwenye famili ya ndugu wa huyu mwenye hiyo hotel inasadikika wana mambo ya ajabu sanaa....kama.hayo......
Huna uhakika kwamba Justin Kalikawe alikuwa na virusi bus ukimwi. Kesi ya ukiukaji wa haki za wengine kwa kutumia mitandao inakuhusu.Miaka ya elfu mbili mwanzoni nikiwa nasoma Rugambwa girls,nilimuona alikuwa kaisha balaa,nyumbani kwao ilikuwa siyo mbali na shuleni kwetu.Nasikia alikuwa ana virus vinavyosababisha Ukimwi.Any way namkumbuka kwa wimbo wake "Kuna wanadamu wengine wana roho za korosho,hawapendi kuwaona wenzao wakifanikiwa maishani.