Justine Kalikawe

Kertel

Kertel

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Messages
3,412
Points
2,000
Kertel

Kertel

JF-Expert Member
Joined May 11, 2012
3,412 2,000
huwa nasikiliza mizigo yake youtube, RIP I man justine
 
M

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Messages
503
Points
225
M

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2009
503 225
Kalikawe alikuwa ni mdogo wa dj Kalikali, nilimuona mara ya kwanza akiimba kwenye harusi. Nakumbuka wimbo wake Tweyambe. Tatizo hatuna database za nyimbo kwa hiyo ni vigumu kuzipata
 
Mzimu wa Kolelo

Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Messages
914
Points
1,000
Mzimu wa Kolelo

Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2013
914 1,000
Wamachinga

Duc in Altum
ningekuwa na mabawa ningeruka kama ndege ha ha aisee kitambo sana
km hizi ndo zilikuwa ngoma zaje hakika zilinibamba sana kipindi hiko JANK sikujua kama ndo za nguli huyu heshima kwake na yule mkuu aloimba SOTE NI NDUGU
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
45,482
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
45,482 2,000
Hivi ni kweli aliuwawa na utawala wa anko ben?
Kwa kisa kipi kikubwa?

Justin tunamjua tangu Tambaza na maskani, tumepiga naye concerts na kushuhudia alivyopanda chati mpaka akaondoka Dar.

Tumemuokota alivyoanguka kwa kukosa protini kutokana na kutokula nyama.

Mkapa naye tunamjua toka siku za parties za Nick Mfaume Road, tumemuokota alivyoanguka usingizini kwa kuzidisha Scotch Whisky Sea View huku rais Mwinyi anamsubiri kwenda state visit Saudi Arabia no less. Tunamjua uwezo wake na udhaifu wake. Kaua watu Unguja, Kalikawe alikuwa hajafikia level ya kuuawa na serikali ya Mkapa.

Mkapa ana jeuri ya kudharau watu, mpaka atake kukuua lazima uwe tishio kweli.
 
bullar

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Messages
3,718
Points
2,000
bullar

bullar

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2014
3,718 2,000
Kwa kisa kipi kikubwa?

Justin tunamjua tangu Tambaza na maskani, tumepiga naye concerts na kushuhudia alivyopanda chati mpaka akaondoka Dar.

Tumemuokota alivyoanguka kwa kukosa protini kutokana na kutokula nyama.

Mkapa naye tunamjua toka siku za parties za Nick Mfaume Road, tumemuokota alivyoanguka usingizini kwa kuzidisha Scotch Whisky Sea View huku rais Mwinyi anamsubiri kwenda state visit Saudi Arabia no less. Tunamjua uwezo wake na udhaifu wake. Kaua watu Unguja, Kalikawe alikuwa hajafikia level ya kuuawa na serikali ya Mkapa.

Mkapa ana jeuri ya kudharau watu, mpaka atake kukuua lazima uwe tishio kweli.
lisememwalo Lipo kln bro, mara nyingi wasanii WA reggae wanauwawa na Babylon system
 
The dream

The dream

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Messages
978
Points
1,000
The dream

The dream

JF-Expert Member
Joined May 10, 2015
978 1,000
HUYU NI regendary wa reggae tz aliesahaulika
 
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,400
Points
2,000
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,400 2,000
Oyooo nipe nafasi, sina mcheche ninafanya ninalojua......

Mbona unanisakamasakama kwa maneno kiasi hata cha kutaja kuning'oa meno...

.....Mimi nimeamua kuyapiga mareggae na kizazi changu chote kitapiga reggae...

Baadhi ya mashairi ya nyimbo za Justin......

Bila kuusahau wimbo mtamu wa 'Wamachinga'

Dah...

R.I.P Justin Kalikawe...
 
Mr Hero

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Messages
5,560
Points
2,000
Mr Hero

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2015
5,560 2,000
Nakumbuka uncle wangu alikuwa shabiki mkubwa wa jamaa huyu, mimi wakati niko primary hapo Kati ya Dr's 3 mpaka 5 hivi, nadhani nyimbo zake karibu zote nazijua,
Jamaa naweza mfananisha kwa sasa kama 20% kwa mbali japo 20% hajamfikia kalikawe kwa ujumbe wake
 
bullar

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Messages
3,718
Points
2,000
bullar

bullar

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2014
3,718 2,000
nme soma uzi mmoja humu kuhusu Bob Marley kuuwawa na CIA nashawishika pia juu ya kifo ya huyu jamaa kua aliuwawa
 

Forum statistics

Threads 1,325,739
Members 509,278
Posts 32,201,497
Top